technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Hawajajipanga wangejipanga Kama nectaMtu alijiandikisha tarime, kitambulisho kimetoka nani anawaambia kuwa saivi yuko dar wasikipeleke tarime? Huoni pia kuna majukumu unawaongezea? Yaani waanze kupigia kila mmoja wanamuuliza kama bado yuko kituo kilekile au amehama ndo wanampelekea anapopatikana?
Tueleweshe wewe lengo ni kujifunza kwamfano alijiandikisha mwaka huo na namba alizokuwa anatumia saivi hana, na unavojua watz wengi suala la kutunza line kwa muda mrefu ni wachache saaana labda aliyesoma soma kidogo au mfanyakazi ndio hawabadili namba za simu. Wengine hao anawapatajeHawajajipanga wangejipanga Kama necta
Angalia sasahv form five watarajiwa wanabadilisha combination
Hayo mawazo yako ni mawazo ya kizamani Sana
Hata wakiamua tu kijua location ya mtu bila kumpigia simu wanaweza sema hawajataka kwa sababu za kufanya kazi kwa mazoea na udumavu wa akili
Mtu kajiandikisha mwaka 2017 tarime kitambulisho kinatoka 2025??
Hujui Kama amekufa, kaolewa, kaoa kapata kazi na kwenda sehemu nyingi ili ni tatizo!!
Kwanini wasiangalie nida hiyo husika namba ilizozisajiliTueleweshe wewe lengo ni kujifunza kwamfano alijiandikisha mwaka huo na namba alizokuwa anatumia saivi hana, na unavojua watz wengi suala la kutunza line kwa muda mrefu ni wachache saaana labda aliyesoma soma kidogo au mfanyakazi ndio hawabadili namba za simu. Wengine hao anawapataje
Lakini je, kuna logic gani ya kufuta namba? Kwani kitambulisho ni nini? Je wao NIDA hawana mechanism ya kujua kama namba ni active au vipi? Kama ni active na mwenyewe anakitumia kwanini wafute? Halafu wakishafuta na baadaye akitokea wanafanyaje? Wanamwambia yeye sio raia au haki ya kutengenezewa kitambulisho kingine inakuwa imepotea? Kama hapana, kwanini Serikali iingie gharama Tatu bila sababu za msingi( kuchapisha, kuangamiza, na kutengeneza tena na kuchapisha).Wanapigiwa mbona?
Tueleweshe wewe lengo ni kujifunza kwamfano alijiandikisha mwaka huo na namba alizokuwa anatumia saivi hana, na unavojua watz wengi suala la kutunza line kwa muda mrefu ni wachache saaana labda aliyesoma soma kidogo au mfanyakazi ndio hawabadili namba za simu. Wengine hao anawapataje
Hicho kitambulisho inawezekana kumtuma mtu anichukulie??
Dah ni tafraniNasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!!
Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!!
Hivi nida ni huduma au ni biashara?
Kufuta namba ni hasara ya Nani yaani huyu mkurugenzi wa nida hayo mamlaka ya kufuta namba anayatoa wapi?
Yeye ni uhamiaji? Vitu Kama hivi ndivyo vinakufelisha Samia!!
Piga chini wahuni Kama Hawa
Ambao hawajui majukumu yao ofisini
Halafu maswala ya mtu kumchukulia mtu kitambulisho ni ujinga mwingine
Kwanini usipeleke vitambulisho kwenye ofisi ya halimashauri ambayo muhusika yupo kwa wakati huo??
Shida ya hii nchi watu ni wazembe sana raia wa zembe na watendaji wazembe ndio maana hakuna uwajibikajiNasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!!
Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!!
Hivi nida ni huduma au ni biashara?
Kufuta namba ni hasara ya Nani yaani huyu mkurugenzi wa nida hayo mamlaka ya kufuta namba anayatoa wapi?
Yeye ni uhamiaji? Vitu Kama hivi ndivyo vinakufelisha Samia!!
Piga chini wahuni Kama Hawa
Ambao hawajui majukumu yao ofisini
Halafu maswala ya mtu kumchukulia mtu kitambulisho ni ujinga mwingine
Kwanini usipeleke vitambulisho kwenye ofisi ya halimashauri ambayo muhusika yupo kwa wakati huo??
Just imagin mtu amejiandikisha namba nyingine ya sim alafu kapoteza na kadi hajachukua leo analaumu serikali ujuwe uzembe kitovu cha uzembeShida ya hii nchi watu ni wazembe sana raia wa zembe na watendaji wazembe ndio maana hakuna uwajibikaji