Rais Samia toa maagizo kwa NIDA wawapigie watu simu wawaletee vitambulisho kwenye halimashauri walizopo!!

Rais Samia toa maagizo kwa NIDA wawapigie watu simu wawaletee vitambulisho kwenye halimashauri walizopo!!

Nasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!!

Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!!

Hivi nida ni huduma au ni biashara?

Kufuta namba ni hasara ya Nani yaani huyu mkurugenzi wa nida hayo mamlaka ya kufuta namba anayatoa wapi?

Yeye ni uhamiaji? Vitu Kama hivi ndivyo vinakufelisha Samia!!

Piga chini wahuni Kama Hawa
Ambao hawajui majukumu yao ofisini

Halafu maswala ya mtu kumchukulia mtu kitambulisho ni ujinga mwingine

Kwanini usipeleke vitambulisho kwenye ofisi ya halimashauri ambayo muhusika yupo kwa wakati huo??
Acha ushamba kwa sasa card ya Nida kitisho cha usalama na mkurugenz yupo sahihi wageni wanatohowa na kadi hazijachukuliwa na kuishi kama watanzania so kuokoa jahazi better to distract all cards not collected hii ni hatari kwa usalama wa Taifa
 
Screenshot_20250419-133233.jpg
 
Back
Top Bottom