Rais Samia, TTCL ni shirika lililojaa wafanyakazi wazembe

Huu ni use*g* sana, ofisi za umma wanazitumia kama kama binafsi.
 
Duuh..
Hii ni aina nyingine ya ufisadi
 
Kwa ngazi ya Raisi hii ni micromanagement
 
Sera inayomika TTCL imeshapitwa na Kuna kupeka muswada kuboresha sera na kuwa na mapinduzi ndani shirika ttcl Ina Mambo ya miaka 47 lazima liende na wakati tulionao Sasa wanachokiweza wafanyakazi wa ttcl ni majungu kuliko kazi hicho ndicho kiwafelisha Sana biashara ya mawasaliano. Selikali ingemuweka hata ally maswanya kuwa mrugenzi hapo ttcl kwa ni mbobezi kiwanda Cha mawasaliano zaid miaka 30 baishara wasiliano ataki kazi kukaa ofisi na kuandika unatakiwa kila uwe sokon kwa watumiaji wa masiliano sokon wafanyakazi ttcl wako ofisi wanaperuzi mtandaoni wakishbiri mshahara Wanatutia hasara Kama taifa
 
ni kweli kabisa nimeomba internet nimejaza fomu pale ofisi yao nyerere rd mwezi wa 7 nimepigiwa simu mwezi 11 kuulizwa je waliwahi kuja sarvei nikajibu bado leo miezi 4 sijawaona basi imeishia hapo mpaka kuja kufungiwa labda miaka 2 ipite
 
Reactions: Lax
Watakuwa wafanyakazi wa hiyo biashara anayofanya maharage TTCL wachunguzwe
 
Aisee nakomolea msumari
 
Kunauwezekano viongozi wanaoiyongoza ttcl wanahisa na makampuni mengine ya simu,hawataki ttcl ifanye vizuri na watù wafurahie huduma yao ili wakimbilie kwenye makampuni yenye hisa zao

Inauma sana tunahitaji huduma hatupewi,na hawa wanaogoma kutupa huduma ndio tunaowalipa mishahara kwa kodi zetu,kodi ambazo mda mwingine tunazipata kutokana na mawasiliano ya INTERNET
 
Kama mishahara yao inaenda vizuri shida iko wapi?
 
Is this is a joke?
 
Hahahaha aseee...
 
Kiukweli taasisi zote za umma ziko hivyo lakini naona kama TTCL siku hizi wafanya kazi wakipata hayo mafaiba tifauti za zamani,mimi namshauri mama awape uwezo wa kua n hizo faiba then tuwalaumu kama shurika halina uwezo wa kupata mafaiba mengi kwa pamoja wao wafanye nini wafanyakazi.

Shida tunaangalia upende .mmoja bila kujua uoande mwingine wa shilingi kukoje ndo tulaaum hivyo
 
Shirika limejaa wazee tupu, hakuna ubunifu wowote na sheria za manunuzi nazo zimekaa hovyo sn
 
Mkuu hata ukiwapa fiber huduma zao bado ni changamoto haswa, wataalam ni wachache pia shirika limejaa wazee hawana ubunifu wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…