Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni use*g* sana, ofisi za umma wanazitumia kama kama binafsi.Tukaambiwa kipindi fulani Maharage Chande ana biashara zake TTCL hivyo akabadilishiwa majukumu hamkuelewa?
Kuna siku nilikuwa napitia kurasa za mitandao ya kijamii kuona mirejesho hasa idara ya uhamiaji Kenya ukiangalia na ya Tanzania ni aibu tupu wenzetu wako mbali kutoa mirejesho ya papo kwa papo.
Kurasa zetu watu wanatumia internet ya bure ofisini kupost vimada wao na ujinga mwingine tu , simu za ofisi hawapokei na hakuna anayewauliza na mtu akifunga safari kwenda ofisini anawekwa kwenye foleni hadi atengenezewe mazingira ya rushwa.
Hebu angalia upuuzi wa kurasa za taasisi za umma Tanzania hapo chini.
View attachment 2814719View attachment 2814720
Duuh..Tukaambiwa kipindi fulani Maharage Chande ana biashara zake TTCL hivyo akabadilishiwa majukumu hamkuelewa?
Kuna siku nilikuwa napitia kurasa za mitandao ya kijamii kuona mirejesho hasa idara ya uhamiaji Kenya ukiangalia na ya Tanzania ni aibu tupu wenzetu wako mbali kutoa mirejesho ya papo kwa papo.
Kurasa zetu watu wanatumia internet ya bure ofisini kupost vimada wao na ujinga mwingine tu , simu za ofisi hawapokei na hakuna anayewauliza na mtu akifunga safari kwenda ofisini anawekwa kwenye foleni hadi atengenezewe mazingira ya rushwa.
Hebu angalia upuuzi wa kurasa za taasisi za umma Tanzania hapo chini.
View attachment 2814719View attachment 2814720
Kwa ngazi ya Raisi hii ni micromanagementKwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA.
Katika mashirika ya serikali ambayo wafanyakazi wake wengi ni wazembe basi Ttcl wanaongoza. Hili Shirika limejaa uzembe wa kupitiliza hadi unakela.
Dunia ya sasa wanategemea sana INTERNET ili shughuli zao ziende kwa wakati. Watanzania wengi wanapenda kuingiza huduma za WI-FI kwenye shughuli zao za kila siku,Huduma hii inapatikana katika shirika la TTCL,Lakini cha kushangaza TTCL wamekuwa wavivu wa kuunganisha huduma hii kwa wateja wapya na pia hata wateja wale wa zamani wakipata changamoto yoyote kutatuliwa shida zao imekuwa ngumu sana.
TTCL Shiraka ambalo kama litafanya kazi kwa weledi na kwa kasi nzuri.litakuwa linaingiza fedha nyingi.
Mkoa wa RUVUMA hususani manispaa ya songea huduma hii inahitajika sehem nyingi sana,lakini unaweza kulipia gharama za kuungiwa huduma hiyo na utaipata baada ya miezi hadi 3.
Ukiuliza kwanini mnachelewa kuunganisha hii huduma ya Wi-fi unajibiwa vifaa hakuna.
Raisi samia chukua hatua zidi ya wafanyakazi wazembe kama hawa
Aisee nakomolea msumariKwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA.

Kama mishahara yao inaenda vizuri shida iko wapi?Kwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA.

Is this is a joke?Tukaambiwa kipindi fulani Maharage Chande ana biashara zake TTCL hivyo akabadilishiwa majukumu hamkuelewa?
Kuna siku nilikuwa napitia kurasa za mitandao ya kijamii kuona mirejesho hasa idara ya uhamiaji Kenya ukiangalia na ya Tanzania ni aibu tupu wenzetu wako mbali kutoa mirejesho ya papo kwa papo.
Kurasa zetu watu wanatumia internet ya bure ofisini kupost vimada wao na ujinga mwingine tu , simu za ofisi hawapokei na hakuna anayewauliza na mtu akifunga safari kwenda ofisini anawekwa kwenye foleni hadi atengenezewe mazingira ya rushwa.
Hebu angalia upuuzi wa kurasa za taasisi za umma Tanzania hapo chini.
View attachment 2814719View attachment 2814720
Uliona wapiHawana shida ila sisi tunaomba tuhudumiwe vizuri basi
Hahahaha aseee...Tukaambiwa kipindi fulani Maharage Chande ana biashara zake TTCL hivyo akabadilishiwa majukumu hamkuelewa?
Kuna siku nilikuwa napitia kurasa za mitandao ya kijamii kuona mirejesho hasa idara ya uhamiaji Kenya ukiangalia na ya Tanzania ni aibu tupu wenzetu wako mbali kutoa mirejesho ya papo kwa papo.
Kurasa zetu watu wanatumia internet ya bure ofisini kupost vimada wao na ujinga mwingine tu , simu za ofisi hawapokei na hakuna anayewauliza na mtu akifunga safari kwenda ofisini anawekwa kwenye foleni hadi atengenezewe mazingira ya rushwa.
Hebu angalia upuuzi wa kurasa za taasisi za umma Tanzania hapo chini.
View attachment 2814719View attachment 2814720
Shirika limejaa wazee tupu, hakuna ubunifu wowote na sheria za manunuzi nazo zimekaa hovyo snKwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA.
Katika mashirika ya serikali ambayo wafanyakazi wake wengi ni wazembe basi Ttcl wanaongoza. Hili Shirika limejaa uzembe wa kupitiliza hadi unakela.
Dunia ya sasa wanategemea sana INTERNET ili shughuli zao ziende kwa wakati. Watanzania wengi wanapenda kuingiza huduma za WI-FI kwenye shughuli zao za kila siku,Huduma hii inapatikana katika shirika la TTCL,Lakini cha kushangaza TTCL wamekuwa wavivu wa kuunganisha huduma hii kwa wateja wapya na pia hata wateja wale wa zamani wakipata changamoto yoyote kutatuliwa shida zao imekuwa ngumu sana.
TTCL Shiraka ambalo kama litafanya kazi kwa weledi na kwa kasi nzuri.litakuwa linaingiza fedha nyingi.
Mkoa wa RUVUMA hususani manispaa ya songea huduma hii inahitajika sehem nyingi sana,lakini unaweza kulipia gharama za kuungiwa huduma hiyo na utaipata baada ya miezi hadi 3.
Ukiuliza kwanini mnachelewa kuunganisha hii huduma ya Wi-fi unajibiwa vifaa hakuna.
Raisi samia chukua hatua zidi ya wafanyakazi wazembe kama hawa
Mkuu hata ukiwapa fiber huduma zao bado ni changamoto haswa, wataalam ni wachache pia shirika limejaa wazee hawana ubunifu wowoteKiukweli taasisi zote za umma ziko hivyo lakini naona kama TTCL siku hizi wafanya kazi wakipata hayo mafaiba tifauti za zamani,mimi namshauri mama awape uwezo wa kua n hizo faiba then tuwalaumu kama shurika halina uwezo wa kupata mafaiba mengi kwa pamoja wao wafanye nini wafanyakazi.
Shida tunaangalia upende .mmoja bila kujua uoande mwingine wa shilingi kukoje ndo tulaaum hivyo