R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Jul 3, 2021 #41 Baraka Mina said: Rais aliahidi kukutana na viongozi wa kisiasa. Huko huenda wakazungumza mengi na kuja na mrejesho wenye kutosheleza akili na ufahamu. Click to expand... sawa ngoja tusubiri
Baraka Mina said: Rais aliahidi kukutana na viongozi wa kisiasa. Huko huenda wakazungumza mengi na kuja na mrejesho wenye kutosheleza akili na ufahamu. Click to expand... sawa ngoja tusubiri
Baraka Mina JF-Expert Member Joined Sep 3, 2020 Posts 586 Reaction score 590 Jul 3, 2021 Thread starter #42 Pythagoras said: sawa ngoja tusubiri Click to expand... Neema inakuja.
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Jul 3, 2021 #43 Baraka Mina said: Neema inakuja. Click to expand... dalili zinaonesha
Baraka Mina JF-Expert Member Joined Sep 3, 2020 Posts 586 Reaction score 590 Jul 3, 2021 Thread starter #44 Pythagoras said: dalili zinaonesha Click to expand... Mvumilivu hula mbivu, viongozi na wananchi tunatakiwa kuwa na uvumilivu wa kisiasa (political tolerance). Taifa linatakiwa kujengwa na pande zote, kutaka Serikali ishindwe ni uchawi wa mchana.
Pythagoras said: dalili zinaonesha Click to expand... Mvumilivu hula mbivu, viongozi na wananchi tunatakiwa kuwa na uvumilivu wa kisiasa (political tolerance). Taifa linatakiwa kujengwa na pande zote, kutaka Serikali ishindwe ni uchawi wa mchana.