PostGE2025 Rais Samia tubu, waombe radhi Watanzania wema

PostGE2025 Rais Samia tubu, waombe radhi Watanzania wema

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hitimisho ni kwamba hilo limama ni liuaji lenye roho mbaya.

đź‘‹
MAJAMBAZI NDO YAMEMFIKISHA HAPO NAONGELEA WA TAREHE 29 KUENDELEA wale aliowaficha kabla amekosea na hao sio ninaowaongelea nawaongelea MAJAMBAZI, VIBAKA NA WEZI WA TAREHE 29 -31ST
 
Hawezi kukemea uhalifu kwa sababu yeye na mwanae ndiyo wahalifu wakuu.
 
MAJAMBAZI NDO YAMEMFIKISHA HAPO NAONGELEA WA TAREHE 29 KUENDELEA wale aliowaficha kabla amekosea na hao sio ninaowaongelea nawaongelea MAJAMBAZI, VIBAKA NA WEZI WA TAREHE 29 -31ST
Unachofikiria wewe na wanachojua yeye na team yake ni tofauti.

kwao ni kwamba kuna watu wengi serikalini ambao wamechukizwa na mauaji ya hovyo.

Muhimu ni wewe kujiandaa psychologically na kuelewa mstari mwembamba wanaotembelea kwa sasa.

Ukitaka kuamini tofauti ni haki yako pia.
 
1. Mheshimiwa rais leo umetoa hotuba ya kuumiza mno Watanzania wema , hujakemea kwa kauli kali uhalifu, umewapa zawadi majambazi , maharamia , wezi, vibaka kwa kutamka mbele ya vyombo kuwa wasamehewe? kweli ? basi samehe na wabakaji magerezani wa mihemko, naomba tuombe radhi tuliotumia nguvu na damu kulinda maeneo yetu na biashara zetu zisichomwe huku askari wakikimbia kama kuku , mfano ni mtaa wangu wa biashara Uyole walitaka kuvunja crdb na nmb waibe tuliogopa wakimaliza watakuja kwetu tukaanza kuwasambaratisha kwa bunduki kama raia wema hapo hatukuwa na akiba ya risasi tulirisk sana na tulikuwa watatu tu, halafu unawasamehe kweli? RAIS SAMIA KWELI SHIDA NINI KWANI UNATAKA KURA ? SI UMESHAAPISHWA kwa nini unajipendekeza kwa majambazi? batilisha kauli agiza wapigwe risasi tena tangaza na siku ya kuwanyonga tuma ujumbe uhalifu uishe.

2. HIVI baada ya polisi kuanza kuchukua hatua kali mbona waliacha kufanya uhalifu? maana yake ni kwamba walikuwa wanapima kina cha maji, piga risasi tu kila mhuni acha maridhiano na wahalifu onyesha leadership kama amiri jeshi mkuu

3. Watu wenye wivu na mafanikio ya watu wanawashinda raia wema kweli? yaani wafanyabiashara wema wengi wameumizwa huwapi pole unawapa zawadi majambazi kweli? tuombe radhi rais unawavunja moyo vyombo vya ulinzi hawa walioshikwa wataje wenzao na wapigwe risasi wote ujumbe ufike
Ku. ma kbs wewe
 
Back
Top Bottom