masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Contradictions zilizomo katika mkstaba/maelewano/MOU ya Tanzania na DP World ni za kimsingi kabisa.
Kama mababu na baba zetu walipigania uhuru, misingi hiyo isikiukwe kwa namna yoyote ile.
Hilo ndilo suala katika malumbano yote haya ya Bandari kubinafsishwa.
Naamini Mama Samia utarejesha utengamano nchini.
Mama umeenda vizuri saana baada ya mtangulizi wako ,na ulitutia matumsini sana.
DP World wanakaribishwa kama muwekezaji yoyote mradi afuate KILE SISI WATANZANIA TUNACHOTAKA, na si vinginevyo.
Zaidi ya hapo mama ufafanuzi wa suala hili ni vyema ukatoka kwako mwenyewe, nasi tutakuunga mkono, kama ilivyo kawaida sisi makada.