masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kila mmoja wetu, Kila sekta, Kila kikundi, Kila kikoba, Kila jeshi, Kila mwanagunzi, kila kunguni, Kila mjusi, Kila nyoka, Kila ngeder, Kila kanisa, Kila msikiti na Kila mtu Toka nje tutetee TanganyikaContradictions zilizomo katika mkstaba/maelewano/MOU ya Tanzania na DP World ni za kimsingi kabisa.
Kama mababu na baba zetu walipigania uhuru, misingi hiyo isikiukwe kwa namna yoyote ile.
Hilo ndilo suala katika malumbano yote haya ya Bandari kubinafsishwa.
Naamini Mama Samia utarejesha utengamano nchini.
Mama umeenda vizuri saana baada ya mtangulizi wako ,na ulitutia matumsini sana.
DP World wanakaribishwa kama muwekezaji yoyote mradi afuate KILE SISI WATANZANIA TUNACHOTAKA, na si vinginevyo.
Zaidi ya hapo mama ufafanuzi wa suala hili ni vyema ukatoka kwako mwenyewe, nasi tutakuunga mkono, kama ilivyo kawaida sisi makada.
Naunga mkono.Contradictions zilizomo katika mkstaba/maelewano/MOU ya Tanzania na DP World ni za kimsingi kabisa.
Kama mababu na baba zetu walipigania uhuru, misingi hiyo isikiukwe kwa namna yoyote ile.
Hilo ndilo suala katika malumbano yote haya ya Bandari kubinafsishwa.
Naamini Mama Samia utarejesha utengamano nchini.
Mama umeenda vizuri saana baada ya mtangulizi wako ,na ulitutia matumsini sana.
DP World wanakaribishwa kama muwekezaji yoyote mradi afuate KILE SISI WATANZANIA TUNACHOTAKA, na si vinginevyo.
Zaidi ya hapo mama ufafanuzi wa suala hili ni vyema ukatoka kwako mwenyewe, nasi tutakuunga mkono, kama ilivyo kawaida sisi makada.
Kinachoniumiza, ni wao kumpa mpaka SGR yetu, ili wao wa control kila kitu na malori yao.Kila mmoja wetu, Kila sekta, Kila kikundi, Kila kikoba, Kila jeshi, Kila mwanagunzi, kila kunguni, Kila mjusi, Kila nyoka, Kila ngeder, Kila kanisa, Kila msikiti na Kila mtu Toka nje tutetee Tanganyika
Tutashangazwa sana miaka hii!Duh
Ova
Ndugu mrangi , "Saigoni" sio watu wazuri.Duh
Ova
Tumembembeleza sana. Tunaamini ni Mama atasikia.Contradictions zilizomo katika mkstaba/maelewano/MOU ya Tanzania na DP World ni za kimsingi kabisa.
Kama mababu na baba zetu walipigania uhuru, misingi hiyo isikiukwe kwa namna yoyote ile.
Hilo ndilo suala katika malumbano yote haya ya Bandari kubinafsishwa.
Naamini Mama Samia utarejesha utengamano nchini.
Mama umeenda vizuri saana baada ya mtangulizi wako ,na ulitutia matumsini sana.
DP World wanakaribishwa kama muwekezaji yoyote mradi afuate KILE SISI WATANZANIA TUNACHOTAKA, na si vinginevyo.
Zaidi ya hapo mama ufafanuzi wa suala hili ni vyema ukatoka kwako mwenyewe, nasi tutakuunga mkono, kama ilivyo kawaida sisi makada.
An adventure which might end up turning ugly..it may define the legacy in its own effect.Hahaha. Si alisema ameziba pamba masikioni! Au hukusikia?!
Ni matumaini ya kila mtu kuwa ameusoma vyema upepo wa bandari!Tumembembeleza sana. Tunaamini ni Mama atasikia.