Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake

Tusizunguke mbuyu, tuseme ukweli mwamba hataki kusikia mashariti yeyote yaliyo kinyume na haki zake. Tuache ubinafsi na uroho wa madaraka ndio mambo yatanyoka vinginevyo tutabinywa na kila taasisi ya kimataifa hadi tulia meeeee.
Kwahiyo nchi iendeshwe kwa matakwa ya mtu mmoja. Ili nalo mnaona ni zuri sana?
 
Gentleman,
kuignore au kublock member yeyote yule wa Jf ni kujikosesha na kujinyima mawazo mapya na fikra mbadala nyingi na bora zaidi ya maarifa uliyonayo kichwani mwako.

kubaki na watukanaji au waporomosha matusi tu jukwaani ni kitu useless sana ingawa ni uhuru na haki ya kila mwana JF kufanya apendavyo.

me being ignored or blocked by anybody within platform is just a hot air ๐Ÿ’
 
Sasa si mwende bila yeye tuone mtapiga mbio gani bila kurudi nyuma.
 
Mkuu
Ule mpango wako wa kumfurusha kutoka ikulu bado upo au uliishia kwenye matamanio?
Mpango ulionikabidhi wewe ni wa kipumbavu.

Kama unazungumzia mpango wa waTanzania kuchukua nchi yao, hilo wewe halikuhusu. Subiri utakapoona matokeo.
 
Watu kama nyie kwenye platform muhimu sana. Siyo kila muda kusoma hoja zenye mashiko, kuna muda unaweza kutamani kucheka kutoka kwa watu kama wewe au Lucas Mwashambwa. Ujinga wa machawa kama wewe nitausikia wapi kamq niki ku block/ignore. Big up mzee wa gentleman ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo Viroja
 
Hatuko vizuri hata kidogo,nakumbuka hata kuelekea oct29 mtazamo huu ulisikika sana.
 
Hivi chanzo cha kadhia hii ni waliojipachika madaraka au mwenzetu moja.

Na matarajio ya mwenzetu moja au masharti ni Mbaya Vs matarajio ya walioleteleza kadhia hii. Kwanini hatupendi kuwa wa kweli na wenye kufikiria nchi zaidi ya ufisi wetu
 
Muueni msuuze/mfurahishe roho zenu.
 
Wanavuta muda tu. Sharti walilopewa ni simple. Waimalize kesi kiaiasa au kisheria.
Serikali haina wasiwasi na ushahidi uliokwishatolewa na utakaotolewa baadae mwezi huu dhidi ya Lissu.

Kwa ushahidi huo, tunaamini mahakama itamuona Lissu ana kesi ya kujibu na baada ya kujitetea tunaamini atatiwa hatiani.

Hakuna mtu, nchi au kikundiโ€”iwe cha kikoba wala cha ngoma wenye uwezo wa kuilazimisha serikali imfutie kesi Ndg. Lissu.

Afterall: Who are you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ