johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Utasubiri sana!Asisahau kuwafyekelea mbali akina Sabaya, Chalamila na wengineo..
Ndio mkuu hadi JumanneUtasubiri sana!
RC'sRais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.
Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahahaha! Hii inaitwa "tit for tat"Ndio mkuu hadi jumanne
Bashiru anarudi CCMDk Bashiru kupanda cheo
Mama bana, kawaambia ma PS Helllooo, tulieni sio leo!Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.
Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Umo usihofu, safari hii watakukumbuka...Huu uteuzi wa Juma 4 nikikosekana inabidi nikaoge maji ya bahari.
Macho yamelegea lakini yanaona.Mama bana,kawaambia ma PS Helllooo,tulieni sio leo!
Dah Mama ana swaga kali sana, halafu maneno yake kwa wateule yanatisha mno kuliko ya MagufuliMacho yamelegea lakini yanaona.
Nadhani aliona watakuwa wanamchukulia poa....so kaamua kuwa kaksi.😀Dah Mama ana swaga kali sana,halafu maneno yake kwa wateule yanatisha mno kuliko ya Magufuli
Jana mwambe aliambiwa akaanzishe wizara akishindwa ajichukulie uamuzi huko huko alipo,duh