Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

Rais usimsahau huyu Ndugulile nafasi aliyonayo inampwaya mwondoe
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.

Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Mama anatulaza na viatu, Yani IGP analala na viatu, moja haishiki mbili haishiki.

Mkurugenzi bodi ya mikopo naye presha juu.

RC Iringa, Happy yeye kishaanza kuaga kama ambavyo chalamila naye kaambiwa aage maana jumanne kwaheri.
 
Boom!Mara Bashite karudishwa Ukuu wa Mkoa akapewa Mwanza.
 
kuna jamaa anaitwa mr kejo katibu mkuu wa red cross yule jamaa ni mtu msomi na mtu mwema dr mpango akimuona na serikali ikamtumia ataongeza kitu serilkalini
 
Kwani yeye haienzi kaulimbiu ya hapa Kazi tu,Magu alikuwa hana weekend wala sikukuu yeye anateua na kuapisha hata jumapili[emoji23][emoji23]
Hakuwa na dini yule, huoni hata matendo yake mengi hayakuwa na uchaji wa Mungu pamoja na kujionyesha hadharani kua ni mcha Mungu.
Watu wa Mungu wanaonekana bila hata kutumia nguvu kujitangaza
 
Back
Top Bottom