Mwanamena
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 1,107
- 1,360
Umenichekesha Sana Mkuu, nimejikuta nacheka kwa sauti kubwa.Huu uteuzi wa Juma 4 nikikosekana inabidi nikaoge maji ya bahari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenichekesha Sana Mkuu, nimejikuta nacheka kwa sauti kubwa.Huu uteuzi wa Juma 4 nikikosekana inabidi nikaoge maji ya bahari.
Si wakuu wa Vyombo vya usalama....haujui kuwa kimeumana uko.Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.
Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Anthony Mtaka anafaa Dodoma au Dar es salaamMama anatulaza na viatu, Yani IGP analala na viatu, moja haishiki mbili haishiki.
Mkurugenzi bodi ya mikopo naye presha juu.
RC Iringa, Happy yeye kishaanza kuaga kama ambavyo chalamila naye kaambiwa aage maana jumanne kwaheri.
Na "wenye mbele".
Kimasihara tu jamaa analamba teuzi.Namuona Makonda on stage!
hata kufa pia ni kupanda cheoDk Bashiru kupanda cheo
Atakua PM
Dk Bashiru kupanda cheo
MTAKA ni wa Dar, kunenge aende akanenge huko Chato, kwa mwanakwenda zake.Anthony Mtaka anafaa Dodoma au Dar es salaam
Hii nchi haina kiongozi mjinga kama Chamila, wanasema alikuwa mwalimu wa chuo, najiuliza huwa alikuwa anafundisha wanafunzi kitu gani!?Chalamila ana ugomvi gani na wewe Mkuu...
Yule mwamba ni kazi kazi
Kweli hilo umenikumbushaNjoo Bwashee utalala Nzuguni kwenye nyumba ya Meko
Yes, Ila PM ajitafakari kwa ku-refere story ya NANIA NA SAFIRA, kuhusu kudanganya ukiwa kanisani.PM haiwezekani,ukiteua PM mpya maana yake umavunja Baraza la Mawaziri. Majaliwa yupo sana,kitendo cha kufanya mabadiliko madogo yamemuhakikishia kubaki na nafasi yake
🤣🤣🤣MTAKA ni wa Dar, kunenge aende akanenge huko Chato, kwa mwanakwenda zake.
Km nisipopata nitaenda kuoga maji ya chatoHuu uteuzi wa Juma 4 nikikosekana inabidi nikaoge maji ya bahari.
HhahHhahhah...itakuwa Qm.Hii nchi haina kiongozi mjinga kama Chamila, wanasema alikuwa mwalimu wa chuo, najiuliza huwa alikuwa anafundisha wanafunzi kitu gani!?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app