IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Anapunguza hasiraMi hata sielewi kabisa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapunguza hasiraMi hata sielewi kabisa mkuu
Huyu dogo kimeo sana.Mama anatulaza na viatu, Yani IGP analala na viatu, moja haishiki mbili haishiki.
Mkurugenzi bodi ya mikopo naye presha juu.
RC Iringa, Happy yeye kishaanza kuaga kama ambavyo chalamila naye kaambiwa aage maana jumanne kwaheri.
Bashiru anarudi CCM
Huyu mama nimempenda hafichi fichi Mambo kama mchawi issue ya Mkuchika kaiongea wazi kabisa na la jumanne piaMama bana, kawaambia ma PS Helllooo, tulieni sio leo!
Huyu tusubiri Kwanza special audit report ya BOTDk Bashiru kupanda cheo
Yangu macho tu. Kama hakuna katiba mpya naamini hakuna jipyaKwani yeye haienzi kaulimbiu ya hapa Kazi tu,Magu alikuwa hana weekend wala sikukuu yeye anateua na kuapisha hata jumapili😂😂
Natamani ningekuelewa!Huwez kuwa sehem ya kupanga uhaini kisha ukabaki salama...huwez kupanga na kuleta taarifa za uongo kwa siki mbili mfululizo (12 na 13 march) tukakuacha salama huku ukijua matokeo yake ni maangamizo kwa taifa...
Mafumbo kama mwimbaji taarabu si useme tu unachokijua na huyo mbunge unayemnanga la sivyo huu ni umbea mkuu, mtaje na fafanuaHuwez kuwa sehem ya kupanga uhaini kisha ukabaki salama...huwez kupanga na kuleta taarifa za uongo kwa siki mbili mfululizo (12 na 13 march) tukakuacha salama huku ukijua matokeo yake ni maangamizo kwa taifa...
Huenda!Labda makatibu wakuu na waandamizi wengine
Katiba inasema waziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa maana yake awe na jimbo sasa bashiru atapewa uwaziri mkuu kwa ubunge upi mkuuWaziri mkuu bashiru
Mkuu unajipigia promo wewe utakua ndo huyo kejo.kuna jamaa anaitwa mr kejo katibu mkuu wa red cross yule jamaa ni mtu msomi na mtu mwema dr mpango akimuona na serikali ikamtumia ataongeza kitu serilkalini