Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

natabiri bashiru ally ataenda kuzawadiwa uwaziri.
 
Mama anatulaza na viatu, Yani IGP analala na viatu, moja haishiki mbili haishiki.

Mkurugenzi bodi ya mikopo naye presha juu.

RC Iringa, Happy yeye kishaanza kuaga kama ambavyo chalamila naye kaambiwa aage maana jumanne kwaheri.
Anthony Mtaka anafaa Dodoma au Dar es salaam
 
PM haiwezekani,ukiteua PM mpya maana yake umavunja Baraza la Mawaziri. Majaliwa yupo sana,kitendo cha kufanya mabadiliko madogo yamemuhakikishia kubaki na nafasi yake
Yes, Ila PM ajitafakari kwa ku-refere story ya NANIA NA SAFIRA, kuhusu kudanganya ukiwa kanisani.
 
Back
Top Bottom