Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Maisha ni Yale Yale hakuna tuko uchumi wa kati wala pembeni ....msoto mwanzo mwisho no ajira, biashara ngumu ,vitu vinapanda Bei ....

Uchumi wa kati ni ujinga wa kupumbaza watu kwenye makaratasi tu...
 
Mmmh team Betozo
 
Uihonge World Bank, tena kwa namna tulivyokuwa tunawashughulikia mabeberu vile?

Mama yenu ameupiga mwingi ndio maana tumerudishwa dunia ya tatu.
 
Ungekuwa wa mchongo bibi yenu angesema maana si kea unafiki akio nao.

Sometime rumieni akili.
 
Ona hiki kiazi.

Uihonge World Bank, tena kwa namna tulivyokuwa tunawashughulikia mabeberu vile?

Mama yenu ameupiga mwingi ndio maana tumerudishwa dunia ya tatu.
Gari lilikuwa linapanda mlima kabla ya kufika kileleni likazima kilichotokea unajua mwenyewe...
 
Ccccm sio kila kitu cha kuipinga serikali iliyopita mjue! La sivyo mtashika mkia duniani
 
Ona hiki kiazi.

Uihonge World Bank, tena kwa namna tulivyokuwa tunawashughulikia mabeberu vile?

Mama yenu ameupiga mwingi ndio maana tumerudishwa dunia ya tatu.
World Bank ni nini
Wazungu wanaangalia fursa tu
Ikiwa mtawapa wanachotaka kwa masharti wanayotaka hata uchumi wa juu kwa maneno mtapewa tu
Yule mwendazake wenu alikuwa mtaka sifa na watu walishaanza kulalamikia uchumi kuyumba kwa hiyo kununua uchumi wa kati inawezekana tu
Ili kunyamazisha watu
kwani hiyo mikopo
Aliyokopa alikuwa anapataje kama wazungu walikuwa hawampendi
Ina maana kuna mambo alikuwa anaenda nao sawa na zaidi ni sisi kunyonywa zaidi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Unapoandika jaribu kutumia ubongo ulio na Oxygen
 
Una chuki Sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…