Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

 
uB
Wewe unategemea IMF wakutengenezee data wewe bado una makovu ya wazungu kwenye ubongo waking, bado unandoto za kugenisha raslimali zetu wewe
 
Gari lilikuwa linapanda mlima kabla ya kufika kileleni likazima kilichotokea unajua mwenyewe...
Unaacha kulipia miradi ya kuzalisha fedha endelevu una shughulika na miradi ya kuwezesha kuongeza matumizi/matafunizi ya pesa lazima yakukute! Ha ha ha haaaa ya hilo gari.
 
Siyo kujenga daraja kumalizia tu. JPM kafanya mambo makubwa sana hizo lawama ndogondogo haziwezi kuondoa mafanikio ya JPM. Yeye Sasa anawaza 2025 badala ya kuleta maendeleo.
 
 

Attachments

  • VID-20220410-WA0051.mp4
    1.1 MB
Y

 
Tukiingia uchumi wa kati nahama tanzania
 
Ivi ni kweli kwamba tumeshuka kutoka uchumi wa kati kwa uwezo wa Mungu?
Je, tumlaumu Mungu kwa kushuka kiuchumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…