Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
🐒Nafas ya Bunge pia haipo alaf anaenda kumnyea ndugai , na malofa wanashangilia what a shame
Nilishangaa sana watu 2 kuamua mustakabali wetu na vizazi vyetu.Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
He kumbe hatukujuaNikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Nafas ya Bunge pia haipo alaf anaenda kumnyea ndugai , na malofa wanashangilia what a shame
Liked [emoji106]Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Kwenye awamu ya 5 nafasi ya hilo bunge ilikuwepo?...Nafas ya Bunge pia haipo alaf anaenda kumnyea ndugai , na malofa wanashangilia what a shame
Hatujadili yaliyopita ni nonsense right now , hata hvyo pole pole alishaeleza mikopo yote ilipita bungeni, labda Bunge halikuwa live hukufatiliaKwenye awamu ya 5 nafasi ya hilo bunge ilikuwepo?...
Wewe ni mbuzi, aliyekwambia kila maamuzi yanahitaji Baraza la Mawaziri ni nani? Ndio maana ya kuwepo Katibu wa Baraza la Mawaziri Chief SecretaryNikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Unajua kuna watu hawaamini bado, na shida yao ni kutaka Urais ili kuonesha Mikogo tuKwenye awamu ya 5 nafasi ya hilo bunge ilikuwepo?...
Hata mama kwenye hotuba yake alisema,mipango yote ya serikali lazima ipitie kwa huyo mkuu wa mhimili hivyo alishangaa ageuke mkosoaji.Hatujadili yaliyopita ni nonsense right now , hata hvyo pole pole alishaeleza mikopo yote ilipita bungeni, labda Bunge halikuwa live hukufatilia
Does Two Wrongs makes it Right ?Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Huyo waziri ni wa ajabu sana, kataa kulipa TRA uone kitakachofuata, kwani unapowalipa TRA wao hiyo hela wanaipeleka wapi kama sio kulipa madeni na mambo mengine.Kwa kauri yake alitakiwa kujiuzulu inavyoonekana ni mbumbu kuhusu matumizi ya Kodi.Uamuzi kama huu unafanywa na waziri ambae amesema mkopo ni poa tu kwa sababu hakuna atakaegongewa hodi kulipa deni la Taifa...
Tunahitaji sheria za uratibu wa mikopo...
Ushatoka chato kufagia kwenye kaburi la yule shetani?Nafasi ya Ndugai iko wapi hapa? hii akili ndogo inayotuongoza itatupeleka pabaya zaidi, na ndio sababu Ndugai alihoji juu ya hii mikopo.
Matokeo yake badala ya kujibu hoja ya Ndugai kwa kujua amekosea akaona dawa yake amkodishe kikundi cha mipasho toka mikoani wakamsute ikulu.