Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

Kwa kifupi CCM wamefika ukingoni hawana maajabu yyte
 
Hii njemba nayo haijielewi
 
Bora samia alikuwa anakaa na wenzake wawili jumla watatu...
Mwendazake alikuwa akimka tu anaamua chattle iwe mkoa.. na kupanga mambo ya nchi akiwa mwenyewe.
Una hakika!! Ama unaongea kana kwamba kuna kitu kizito kipo nyuma yako?
 
Hata wziri mkuu hakupaswa awepo...?
 
Yule alikuwa anakaa na dotto James pekee..
Umemaliza. Sasa iko hivi ili tuwe na fair discussion... Watanzania wote kwa umoja wetu...tuungane kudai katiba, na main theme ktk katiba hiyo iwe ni KUPUNGUZA MADARAKA YA RAIS... kinyume na hapo hata mimi nikiwa Rais ntawanyoosha.., my homeland will be young Dubai.
 
Maandalizi ya 2025.

Strategically positioning.

Hela nyingi zitaibwa, mtaziona 2025.
 
Akili kisoda


 
Confidence?! Mtu mwenye confidence haoni taabu kukoselewa!! Mtu mwenye confidence hawezi kudukua mawasiliano ya watu kutaka asikie wanaongea nini kuhusu yeye!!! Mambo kama hayo yanafanywa na mtu asiyejiamini! Na kwa kawaida watu wasiojiamini huwa wanapenda waonekana wao sio watu wa kuchezewa chezewa!!
 
Unachanganya kati ya "confidence" na "ego." Unaweza kukuta mtu akiwa na confidence sana lakini pia yuko egocentric, wakati kuna mtu hana confidence lakini ana ego, na kuna mtu mwenye confidence bila ego na mwisho kuna asiyekuwa na cofidence wala siyo egocentric. Usichanganye.
 
Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..

Wapumbavu nini!??

Hoja Ni hoja. Sasa wewe unakaribisha vikao makaburini. Mkuu we Ni mchawi? Lakini kwa kujibu upumbavu wa swali lako Ni kuwa Hakuna duniani, narudia duniani anayeweza fanya jambo peke yake. Iwe Id Amin dada au mjomba wako. Swala na nani ni swala la kipindi kijacho.
 
Ndugai huyu alieomba msamaha au yupi ? alitakiwa asimamie anacho amini mpaka mwisho sio awe kigeugeu.........usiwaamini wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…