Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
-
- #101
Nakuunga mkono mzee wa simbahuyu mama hajielewi. mtakuja kushtuka baadae too late
Story ya uzi huu imeanzia katikati labda kwa malengo ya kisiasa. Mama alipigiwa simu na Mwigulu usiku akamwambia wataongea kesho asubuhi.Rais kasema alikaa na nani?wewe unaeleza taratibu, bibi yeye anaeleza kilichofanyika. Kwa akili ya kawaida kuonyesha alipata idhini asingetaja hako kakikao bali angetaja kikao cha baraza
Hahahahahaha utakonda sanaaa kumuwaza mtu ambae yuko Kaburini.Ushatoka chato kufagia kwenye kaburi la yule shetani?
Enzi zake alikuwa alfa na omega haitaji hata mkewe achilia mbali bunge na mawaziri amshauri.
Na maamuzi yake ndo kila kitu.
Muacheni mama afanye apendavyo wanafki wakubwa nyinyi.
Faida ni ujenzi wa mashule ya sekondari nchi nzima. Ni ujenzi wa madaraja makubwa na madogo nchi nzima.Faida ni ipi sasa mpaka sasa kama mafuta ya kula tu hayashikiki dukani
Mashule ambayo yanazalisha jobless tu hamna kingine cha maana kweli?Faida ni ujenzi wa mashule ya sekondari nchi nzima. Ni ujenzi wa madaraja makubwa na madogo nchi nzima.
Mafuta kutoshikika pengine ni masuala ya inflation, na haya yapo dunia nzima. USA walikutana na joto ya jiwe baada ya petrol kupanda bei miaka michache iliyopita.
Ni bora ujenge kwa mategemeo kwamba pesa zikizidi kupatikana utaboresha viwango vya ufundishaji wa waalimu wao.Mashule ambayo yanazalisha jobless tu hamna kingine cha maana kweli?
Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Uamuzi kama huu unafanywa na waziri ambae amesema mkopo ni poa tu kwa sababu hakuna atakaegongewa hodi kulipa deni la Taifa...
Tunahitaji sheria za uratibu wa mikopo...
Wakati huo watoto hawazaliwi sio!? Madarasa yataendelea kuwa hafifu tu sio kipaumbele kwa sasa halafu ni aibu mtu kukopa hela badala ufanyie investment unakopa hela ya kulipia madeni ya nyuma na kutumia😅Ni bora ujenge kwa mategemeo kwamba pesa zikizidi kupatikana utaboresha viwango vya ufundishaji wa waalimu wao.
Ni bora ujenge mashule kwa matarajio kwamba kazi zitakuja kupatikana siku zijazo. Binadamu angekuwa anatanguliza mawazo ya kufeli nina uhakika wasingekuwa na umuhimu watu wanaohubiri matumaini (motivational speakers).
Ushatoka chato kufagia kwenye kaburi la yule shetani?
Enzi zake alikuwa alfa na omega haitaji hata mkewe achilia mbali bunge na mawaziri amshauri.
Na maamuzi yake ndo kila kitu.
Muacheni mama afanye apendavyo wanafki wakubwa nyinyi.
Kwako wewe sio kipaumbele. Kwa serikali na mipango yake ni kipaumbele muhimu.Wakati huo watoto hawazaliwi sio!? Madarasa yataendelea kuwa hafifu tu sio kipaumbele kwa sasa halafu ni aibu mtu kukopa hela badala ufanyie investment unakopa hela ya kulipia madeni ya nyuma na kutumia😅
Upumbavu tuKwako wewe sio kipaumbele. Kwa serikali na mipango yake ni kipaumbele muhimu.
Ni uhuru wako wa maoni.Upumbavu tu
Kukopa deni Ili kulipa deni hapa akili imeenda likizoUnajua maana ya DENI KUIVA??? Hapo MAGUFULI ALICHUKUA MKOPO HIVYO MAREJESHO YAMESHAFIKA. KWAHIYO MAMA SAMIA KAONA BORA WAANZE KULIPA HAYO MADENI. Tatizo letu hatufuatilii mambo na kuona kama Mama Samia haya madeni ndio msababishaji au la.
Nafas ya Bunge pia haipo alaf anaenda kumshambulia ndugai , na wengine wanashangilia what a shame
Kwanini Ndugai hakuanza kuhoji mikopo iliyokuwa inakopwa kwa siri bila bunge kuhusishwa na manunuzi ya ndege nakadhalika pasipo muhuri wa bunge ama kujadiliwa? Kwanini aanze kuhoji wakati huu tena mkopo wa wazi kabisa ambao umma umefahamishwa pamoja na matumizi yake kuwa ya wazi.Nafasi ya Ndugai iko wapi hapa? hii akili ndogo inayotuongoza itatupeleka pabaya zaidi, na ndio sababu Ndugai alihoji juu ya hii mikopo.
Matokeo yake badala ya kujibu hoja ya Ndugai kwa kujua amekosea akaona dawa yake amkodishie kikundi cha mipasho toka mikoani wakamsute ikulu.
Cheti changu wewe na ukoo wenu wote muungane hamuwez kufikia hata robo ya daraja lake.Hahahahahaha utakonda sanaaa kumuwaza mtu ambae yuko Kaburini.
Tulia kama alikufukuza kazi kwa cheti feki usilete povu kali kiasi hicho mpaka mtu anajuaa huyu hamnazo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app