Common Folk JF-Expert Member Joined Nov 8, 2023 Posts 909 Reaction score 4,050 Nov 20, 2025 #1 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume ya uchunguzi ya Jaji Chande ndiyo itakayoleta ajenda ya tume ya Maridhiano. Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025 Your browser is not able to display this video.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume ya uchunguzi ya Jaji Chande ndiyo itakayoleta ajenda ya tume ya Maridhiano. Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025 Your browser is not able to display this video.
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,496 Reaction score 51,721 Nov 20, 2025 #2 Akiambiwa aachie ngazi atakubali? Halafu 90 days wanachunguza Nini? Wafanye kazi usiku na Mchana majibu yatokee within 10 days
Akiambiwa aachie ngazi atakubali? Halafu 90 days wanachunguza Nini? Wafanye kazi usiku na Mchana majibu yatokee within 10 days