The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Sasa Anastasia21 mbona mimi sina taarifa lakini usinitie ubaya hapaHatujalipwa mshahara mwezi wa nne huu tumemalizaje njaaπ
Sasa Anastasia21 mbona mimi sina taarifa lakini usinitie ubaya hapa
Ile niliacha imekwisha haya .... niambie nikutumie wapi maana kwa kubadili namba za kupokelea hela nimekushindwaKipensi changu sijapata mshahara na mda sasa nashindia dagaa na mchicha ata sijabadili mboga nawasilisha πππ
Imeisha yote mpaka nakopa vibandani ndugu πIle niliacha imekwisha haya .... niambie nikutumie wapi maana kwa kubadili namba za kupokelea hela nimekushindwa
Kwa waliolima mahindi/ mazao ekari 10, 20 30, 40 etc na wanategemea mvua ... Doooohhh.... Huruma sana....Mahindi yanakauka; Ngoja hizi mvua zisinyeshe mpaka Mei, Mungu asaidie tu, maana nikiangalia mashamba naogopa
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa mkuu... Aje vijijini huku aridhi Haina rutuba Tena kama zamani kilimo kimekuwa ghali kinatakiwa uwekeze pesa walau uvune mazao ya kueleweka. Kama mwaka huu watu wamelima mazao yamenyaukia shambani halafu unaambiwa tumepinguza njaaSiasa hizi