Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nini athari zake kiuchumi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu siyo kwwli. Sasa hivi pipa la mafuta ni 75 $. Kiwango cha juu ilifika hadi 125 $ kwa pipa?Impacts ya sh.100 ni ndogo sema bei ya mafuta soko la Dunia imefikia viwango vya juu zaidi kuwahi kufikiwa.
Zambia wanaweka ruzuku kwenye mafuta ,Tzn,Kenya nk hawaweki
Mkuu yeye ananunuliwa Mpaka barakoa Kodi halipi hata hiyo mia anayo jigamba kuongeza kwenye mafutaYeye anaiona shs 100 ni ndogo sababu hanunui chochote kila kitu analetewa mezani
Hiyo 100 siyo ndogo. Mimi natumia mafuta lita 600 kwa wiki, ina maana sasa nitatoa shilingi 60,000 zaidi kwa wiki, 240,000 kwa mwezi, na shilingi 2,880,000 kwa mwaka. Na hapo naendesha shughuli zangu kwa faida ndigo sana kutokana na kukosekana kwa umeme.Impacts ya sh.100 ni ndogo sema bei ya mafuta soko la Dunia imefikia viwango vya juu zaidi kuwahi kufikiwa.
Zambia wanaweka ruzuku kwenye mafuta ,Tzn,Kenya nk hawaweki
Wafuasi wengi wa ccm ama ni 'kula kulala' au ni 'mbumbumbu' hivyo haya madhara either hayawagusi ('kula kulala') au hawayaelewi ('mbumbumbu').Hiyo 100 siyo ndogo. Mimi natumia mafuta lita 600 kwa wiki, ina maana sasa nitatoa shilingi 60,000 zaidi kwa wiki, 240,000 kwa mwezi, na shilingi 2,880,000 kwa mwaka. Na hapo naendesha shughuli zangu kwa faida ndigo sana kutokana na kukosekana kwa umeme.
Mama,mama,mamaOur President anatutesa huku anatupa pole.
Ndiyo maana anaidharau miaMkuu yeye ananunuliwa Mpaka barakoa Kodi halipi hata hiyo mia anayo jigamba kuongeza kwenye mafuta
Sawa kama unafuatilia vyombo vya habari vya kimataifa hiyo bei imepanda au imeshuka?Mkuu siyo kwwli. Sasa hivi pipa la mafuta ni 75 $. Kiwango cha juu ilifika hadi 125 $ kwa pipa?
Ndio gharama ya maendeleo,kila mtu ataguswa aidha moja kwa moja kama wewe au kwa gharama za nauli na usafirishaji.Hiyo 100 siyo ndogo. Mimi natumia mafuta lita 600 kwa wiki, ina maana sasa nitatoa shilingi 60,000 zaidi kwa wiki, 240,000 kwa mwezi, na shilingi 2,880,000 kwa mwaka. Na hapo naendesha shughuli zangu kwa faida ndigo sana kutokana na kukosekana kwa umeme.
Ni pesa ya wananchi yes but imekuwa initiated na Serikali ya Ccm,waambieni wawachague Ili nanyi mkapate shushu za kuongozaNa mkienda kwenye uzinduzi mnasema CCM tumefanya na Kutukana wapinzani.
Na mtu akiwakumbusha ni pesa ya wananchi, mnamwita sio mzalendo, na polisi ataitwa kwa mahojiano.
Pumbavu sana MaCCM
Acha kujiongeresha kama umekatwa kichwa, Uchaguzi gani mliochaguliwa na Upinzani ukapoteza..?!Ni pesa ya wananchi yes but imekuwa initiated na Serikali ya Ccm,waambieni wawachague Ili nanyi mkapate shushu za kuongoza
Uchaguzi uko wapi sasa katika nchi hii wakati wachezaji tena ndio hao hao waamuzi...!!!🙄🙄Ni pesa ya wananchi yes but imekuwa initiated na Serikali ya Ccm,waambieni wawachague Ili nanyi mkapate shushu za kuongoza
Kunywa maji afu urudi kuchangia,ndio maana mnapigwa ndani mnaishia kulia Lia kama mke mkubwa kapokonywa mume na bimdogo.Acha kujiongeresha kama umekatwa kichwa, Uchaguzi gani mliochaguliwa na Upinzani ukapoteza..?!
Nyie watoto wa teuzi mnajitoa akili mno.
Tulia na ndoa yako Mombasa, huku CHADEMA hakuna wakukuoa, unajipitisha pitisha mpaka kero sasa.
Impacts ya Sh.100 ni ndogo sema bei ya mafuta soko la Dunia imefikia viwango vya juu zaidi kuwahi kufikiwa.
Zambia wanaweka ruzuku kwenye mafuta, Tanzania, Kenya nk hawaweki