Rais Samia: Tumeongeza shilingi 100 katika kila lita ya mafuta ili tuweze kukusanya fedha zitusaidie kujenga Barabara za Vijijini

Rais Samia: Tumeongeza shilingi 100 katika kila lita ya mafuta ili tuweze kukusanya fedha zitusaidie kujenga Barabara za Vijijini

Impacts ya sh.100 ni ndogo sema bei ya mafuta soko la Dunia imefikia viwango vya juu zaidi kuwahi kufikiwa.

Zambia wanaweka ruzuku kwenye mafuta ,Tzn,Kenya nk hawaweki
Mkuu siyo kwwli. Sasa hivi pipa la mafuta ni 75 $. Kiwango cha juu ilifika hadi 125 $ kwa pipa?
 
Kodi ya muda au endelevu ? Bado tuna safari ndefu tuombe sana tena mno .....bomba mafuta likamilike tupate ile kodi....
 
Impacts ya sh.100 ni ndogo sema bei ya mafuta soko la Dunia imefikia viwango vya juu zaidi kuwahi kufikiwa.

Zambia wanaweka ruzuku kwenye mafuta ,Tzn,Kenya nk hawaweki
Hiyo 100 siyo ndogo. Mimi natumia mafuta lita 600 kwa wiki, ina maana sasa nitatoa shilingi 60,000 zaidi kwa wiki, 240,000 kwa mwezi, na shilingi 2,880,000 kwa mwaka. Na hapo naendesha shughuli zangu kwa faida ndigo sana kutokana na kukosekana kwa umeme.
 
Wafuasi wengi wa ccm ama ni 'kula kulala' au ni 'mbumbumbu' hivyo haya madhara either hayawagusi ('kula kulala') au hawayaelewi ('mbumbumbu').
 
Hii nchi,s wawakate kila mbunge kila mwez miloni moja moja wabunge wako mia ngap huko s wangejenga barabara. Sa kupandisha mafuta s maisha yanapanda bidhaa ztapanda. Eeh
 
Yaani hii nchi bas tu ,rasilimali ngap tunazo hzo mia mia s wangekata huko kwenye rasilimali tulizonazo. Ama achukue mshahara wake wa mwez mmoja wapeleke tarura. Mambo n yale yale tokea uhuru
 
Hiyo 100 siyo ndogo. Mimi natumia mafuta lita 600 kwa wiki, ina maana sasa nitatoa shilingi 60,000 zaidi kwa wiki, 240,000 kwa mwezi, na shilingi 2,880,000 kwa mwaka. Na hapo naendesha shughuli zangu kwa faida ndigo sana kutokana na kukosekana kwa umeme.
Ndio gharama ya maendeleo,kila mtu ataguswa aidha moja kwa moja kama wewe au kwa gharama za nauli na usafirishaji.

Kizuri ni kwamba hiyo pesa imeelekezwa kutatua kero za barabara.
 
Na mkienda kwenye uzinduzi mnasema CCM tumefanya na Kutukana wapinzani.

Na mtu akiwakumbusha ni pesa ya wananchi, mnamwita sio mzalendo, na polisi ataitwa kwa mahojiano.

Pumbavu sana MaCCM
Ni pesa ya wananchi yes but imekuwa initiated na Serikali ya Ccm,waambieni wawachague Ili nanyi mkapate shushu za kuongoza
 
Ni pesa ya wananchi yes but imekuwa initiated na Serikali ya Ccm,waambieni wawachague Ili nanyi mkapate shushu za kuongoza
Acha kujiongeresha kama umekatwa kichwa, Uchaguzi gani mliochaguliwa na Upinzani ukapoteza..?!
Nyie watoto wa teuzi mnajitoa akili mno.

Tulia na ndoa yako Mombasa, huku CHADEMA hakuna wakukuoa, unajipitisha pitisha mpaka kero sasa.
 
Mafuta yakifika dola 💯 kwa pipa au zaidi ndio tutaipata kwa sababu serikali haina mkakati wowote wa kununua mafuta na kuyaweka kwenye hifadhi maalum wakati ule bei zinapokuwa zimeporomoka.

Wanasubiri bei zinapopanda ndio wanakuja na mkakati wa kupandisha bei hali inayopelekea mfumuko wa bei na kusababisha gharama za maisha kupanda.

Hii serikali utafikiri haina wachumi, akina Mwigulu sio wachumi wa kueleweka ni watu tu waliosoma kijanjajanja kisha kupewa vyeti na baadaye kupata mbeleko ya kisiasa kwa ccm lakini hawana chochote cha maana kuweza kuitolea taifa.
 
Acha kujiongeresha kama umekatwa kichwa, Uchaguzi gani mliochaguliwa na Upinzani ukapoteza..?!
Nyie watoto wa teuzi mnajitoa akili mno.

Tulia na ndoa yako Mombasa, huku CHADEMA hakuna wakukuoa, unajipitisha pitisha mpaka kero sasa.
Kunywa maji afu urudi kuchangia,ndio maana mnapigwa ndani mnaishia kulia Lia kama mke mkubwa kapokonywa mume na bimdogo.
 
Impacts ya Sh.100 ni ndogo sema bei ya mafuta soko la Dunia imefikia viwango vya juu zaidi kuwahi kufikiwa.

Zambia wanaweka ruzuku kwenye mafuta, Tanzania, Kenya nk hawaweki

Mafuta wala hayajapanda bei sasa hivi na US$75 kwa pipa itakumbukwa kipndi cha Mkwere pipa liliwahi fika US$ 150 na bado mafuta hayakupanda bei kufikia hii bei tunayonunua leo.

Mafuta hayahitaji ruzuku mf. Petrol mpaka inafika Dar ni TZS 1,162 (Cif) weka sasa utititiri wa kodi na tozo ndio yanafika 2270 bei ya jumla. Suluhisho ndio kuondoa utitiri wa kodi na tozo ili yashuke bei.
 
Back
Top Bottom