PreGE2025 Rais Samia: Tumepoteza Vijana wetu wanne waliokuwa wanakuja kwenye mkutano wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025.

Kabla ya kutoa pole hizo, Rais alitembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.

Pia soma
~
Ajali lori lililobeba makada wa CCM Simiyu, Polisi kutoa taarifa
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

Mbona taarifa ya Jeshi la Polisi ni tofauti na taarifa ya rais?
 
Mungu awaweke alipowapangia!
 
Rip
 
Kufa kufa tu so what's?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Ni mwendo wa kusombwa kama marobota ya Pamba. Bado wengine wanasombwa toka mikoa ya jirani kama Geita na Mara kuhudhuria daraja la JPM, as if waliopo Mwz hawatoshi, jamani
 
Back
Top Bottom