Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Unasombwa kama magunia unaishia kupotea.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025.
Kabla ya kutoa pole hizo, Rais alitembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.
Pia soma
~ Ajali lori lililobeba makada wa CCM Simiyu, Polisi kutoa taarifa
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi