MIZANIA TZ
JF-Expert Member
- Sep 22, 2024
- 699
- 374
🙄🙄🙄👀Nimefurah sana kwa taarifa hii iliyofanyiwa Standardisation, ziwe nyingi habar kama hizi
#Oktoba tuna🖕🏿
🙄🙄🙄👀Nimefurah sana kwa taarifa hii iliyofanyiwa Standardisation, ziwe nyingi habar kama hizi
#Oktoba tuna🖕🏿
🤔 🤔 🤔 💭
Duh...!,hizi ka .. za uchaguzi, this time zimeanza mapema!。
RIP vijana wetu!。
P
Mkuu akiishasema ni wanne, ni wanne tuu!.Kuna habari inasema wamefika nane
Ya nyuma tunayapeleka mbele na ya mbele tunayarudisha nyuma... thats 'how' they work..!Mkuu akiishasema ni wanne, ni wanne tuu!.
Hata lile tukio la tarehe 17, lilitokea tarehe 12!, watu wakala kobisi!. Likatangazwa tarehe 17!, then ni linakuwa limetokea tarehe 17.
P
We huoni tunapunguza wajinga Mkuu?🙄🙄🙄👀
Ni roho mbaya tuSijui kwanini sijisikii vibaya!
NDUGAI, GWAJIMA sasa ni MPINA.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025.
Kabla ya kutoa pole hizo, Rais alitembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.
Pia soma
~ Ajali lori lililobeba makada wa CCM Simiyu, Polisi kutoa taarifa
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
Sasa tukubaliane, Mungu akitaka kukuumbua hachelewi.
Watu wame kuwa wakipiga kelele juu ya somba somba lakini Ccm mli oinga. Leo bila aubu mna tuambia wame pata ajali wakiwa wana letwa mkutanoni. Huyo ni Mungu ana waaibisha.
Dunia ya sasa ya social media naziamini zaidi taarifa za ground kuliko zilizochujwa na mamlaka!nitakuwa mtu wa mwisho kuziamini taarifa zitolewazo na polisi
Labda walidhani kuna mtu watamfrahishaKwahiyo Polisi wamedangqnya!!
They can go to hellNi roho mbaya tu