Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Unasombwa kama magunia unaishia kupotea.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025.
Kabla ya kutoa pole hizo, Rais alitembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.
Pia soma
~ Ajali lori lililobeba makada wa CCM Simiyu, Polisi kutoa taarifa
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

[wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano
Muache kusomba watu kwenye malori, ccm kubalini kuwa hamkubaliki!!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025.
Kabla ya kutoa pole hizo, Rais alitembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.
Pia soma
~ Ajali lori lililobeba makada wa CCM Simiyu, Polisi kutoa taarifa
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
Wauaji wakubwa! Kwanini wanatumia malori kusomba watu kwenda kwenye mikutano yao?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025.
Kabla ya kutoa pole hizo, Rais alitembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.
Pia soma
~ Ajali lori lililobeba makada wa CCM Simiyu, Polisi kutoa taarifa
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
Samia acha drama, kifo ni kifo TU.KIFO NI KIFO
AJALI YA MAMA
Mpaka Oktoba watia tiki watakuwa wamebakia wachache sana!
Duh...!,hizi K ... this time zimeanza mapema!。
RIP vijana wetu!。
P
Kuna habari inasema wamefika naneRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025.
Kabla ya kutoa pole hizo, Rais alitembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.
Pia soma
~ Ajali lori lililobeba makada wa CCM Simiyu, Polisi kutoa taarifa
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
Sasa tukubaliane, Mungu akitaka kukuumbua hachelewi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025.
Kabla ya kutoa pole hizo, Rais alitembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.
Pia soma
~ Ajali lori lililobeba makada wa CCM Simiyu, Polisi kutoa taarifa
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
Kaka mkubwa, kua makini, vijana wako huaga wana maana yao ukitamka K, so please jitahidi kuifafanua hiyo K yako, please
Duh...!,hizi K ... this time zimeanza mapema!。
RIP vijana wetu!。
P
Kwani police wansemaje ah ah ha haRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025.
Kabla ya kutoa pole hizo, Rais alitembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.
Pia soma
~ Ajali lori lililobeba makada wa CCM Simiyu, Polisi kutoa taarifa
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
KAFARA ZA CCM AU ZA MAMA 🥴
Duh...!,hizi K ... this time zimeanza mapema!。
RIP vijana wetu!。
P
Sku hiyo nitalewaaa sanaa na namuomba Mungu amuchukue kbla yanguKifo ni kifo tu.
Na tunakisubiri kwa hamu kubwa sana kifo cha Abdul
🤔 🤔 🤔 💭Kifo ni kifo tu.