Rais Samia: Tumeshalipia treni 19 za Umeme na mabehewa 89, Seti 10 za treni na mabehewa 80 kwaajili ya mizigo

Kazi indelee Tanzania na Samia, Tuko vizuri Sana
 
Nijambo zuri sana kwenye kukuza uchumi, lakini nawasiwasi Kwa huu umeme wetu wa mgao isijee ikawa ni ngonjera tuu za majukwani.
 
Pamoja na juhudi zote hizo lakini wajane na mayatima wa marehemu bedui hawaishi kulalama.
 
Asante,Wananchi maendeleo tunayaona kwa macho yetu.
 
kazi iendele mama
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Mama Samia moto Fire to 2025
 
..Magufuli alishindwa kumaliza kipande kifupi cha Dar kwenda Moro.

..Amekufa hatujakabidhiwa mradi hivyo hastahili pongezi ktk hili.
Si mulimuua kabla hajakamilisha miradi ili muwe mnasema kuwa hajafanya lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…