Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
 
View attachment 2762890

Makamba alisema hivyo hivyo tangu ateuliwe yeye anasema Leo tena

Maharage alisema ishu ni maji Leo Samia amasema mitambo

Hamna Rais hapo ni kilemba tu

USSR
 
Huyu Hangaya hana kauli yoyote....anasubiri remote itoe signal ndio afungue mdomo.

👇👇....c&p
Gangsters in Suit.

KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023, waliagiza na kuamuru maji katika bwawa la Mtera (Catchment area; 68,000 km² (26,000 sq mi)) yafunguliwe na kumwagika nje.

Hoja yao; Maji yangelijaa sana na yangelipasua bwawa la Mtera. Wahandisi na wataalam kutoka katika bwawa la Mtera wakapinga jambo hilo kitaalam.

Wataalam na wahandisi kutoka Mtera wakawaleza hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam hutumika kwa shughuli nyingi siyo Hydropower tu.

Hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam (kama Mtera) hutumika hata katika irrigation, human consumption, industrial use, aquaculture, na navigability.

Lakini kwa mamlaka yao, KIPARA na Maharage wakaagiza kwa lazima maji yafunguliwe katika bwawa la Mtera. Maji yakafunguliwa.

Maji hayakujaa tena katika bwawa la Mtera, kwa sababu mvua zilipotea. Sasa nchi yetu inapitia mgao mkali wa umeme kwa sababu ya wahuni.

Septemba 2023 mgao umekuwa mkali na wanaohusika na umeme wanajitetea kwamba kuna upungufu wa uzalishaji umeme kwenye mabwawa kutokana na ukame.

Kuliko kuwahamisha kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine, hawa ‘wahuni’ walipaswa kupumzika utumishi wa umma. Hawatufai.

Tunataka kuamini kwamba ‘Rais ni taasisi’ na Rais anatakiwa kuwaondoa katika utumishi wa umma hawa wahuni. Haitakiwi kuwahamisha waharibifu kutoka ofisi moja kwenda nyingine.

Wakati hawa wahuni wakisubiri nje ya utumishi wa umma, Tunahitaji uchunguzi wa kamati maalum ya bunge katika jambo hili, haraka. Ingawa lenyewe ni dhaifu.

Haiwezekani wahuni wananufaika kuingiza na kuuza majenereta wakati wengine tunapata msoto wa mgao wa umeme. Wanatutia umaskini.

MMM, Mtikila.
 
View attachment 2762890
Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
Muongo sana huyu mama. Tuliishi na mgawo wa siku 14 kupisha ukarabati wa mitambo. Mwislamu gani muongo huyu.
 
Muongo sana huyu mama. Tuliishi na mgawo wa siku 14 kupisha ukarabati wa mitambo. Mwislamu gani muongo huyu.
Naunga mkono hoja 👍 hata yule jamaa wa kupaka dawa kichwani aliongea uwongo msikitini kuwa jiwe hajaondoka duniani kumbe alishasepa mda tu 😂😂 viongozi wa kibongo ni matapeli na ni hovyo bin wachumia matumbo yao
 
Back
Top Bottom