Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

Sioni umuhimu wa tanzania kuwa na umeme bora watangaze kila mmoja ajue namna ya kupata mwanga. Kuliko kutegemea huu umeme unaojumiwa na watu wachache!

Viongozi wa tanzania ni wa ovyo sijapata kuona. Wapo tayari kufanya lolote kwa ajili ya matumbo yao tu. Viongozi wa tanzania ni wabinafsi, waroho na tamaa za ajabu unafikiri wakifa watazikwa na hizo pesa.

Mbona wakifa wanaziacha tu. Viongozi tendeni wema kwa watanzania mbona mna mali nyingi tu. Mnataka mle mpaka mtapike?
 
Tangu Rais atamke hadharani kuwa alimteua maharage chande TTCL bila kujua Kama anafanya biashara na TTCL , ninachelea kuamini anachosema kuhusu umeme Kama ana uhakika nacho
Riais mvivu kupindukia asiyejua chocho kuhusu nchi yake poor Tanzania
 
Cha kushangaza huyo January amezawadiwa nafasi nyingine
Wakati ilitakiwa awekwe ndani.

Na amezawadiwa na Rais..
Huyu Rais utasemaje ni mzalendo wakati anawazawadia vyeo majizi?
Yeye tumuoneje kama amewakumbatia matapeli wa nchi,?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
January aliwekwa pale kwa mission za wizi tu ikiwemo kufanikisha lile deal la LNG la trillion 75
 
[emoji16][emoji16][emoji16] kama jana alivyokuja kutupasha akaona awaite na wakurugenzi ikulu wakati hawaapishi[emoji16][emoji16][emoji16]ili kuja kujitetea na panga pangua zake zisizoeleweka

Tutajuta kuongozwa na mzanzibar wa kizimkazi
Kiongozi asiyejua hata kuunda serikali ww kazi gani ,ni kipi wanakiweza sasa
 
Kuna yeyote kaweka imani kwa huyu kiumbe?

Binafsi hapana na simuelewi
 
Back
Top Bottom