Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

What happened to our self reliance philosophy? Nchi omba omba haiwezi kuheshimiwa; we should do away with the mkwere dependency syndrome!!!
Self reliance ile inayotanguliwa na neno Ujamaa? Bulesi are you serious unataka kuturudisha kwenye failed doctrine?
 
Hamkuzoea kuambiwa ukweli

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Self reliance ile inayotanguliwa na neno Ujamaa? Bulesi are you serious unataka kuturudisha kwenye failed doctrine?
Hapana siseme turudi kwenye ujamaa ila tuwe na mindset ya kutumia human and natural resources zenu diligently to achieve our goals badala ya kutegemea handouts!!! Kuna nchi duniani hazina utajiri kama tulionao lakini wametumia their natural endowments kujipatia Maendeleo makubwa. To be self reliant sio lazima uwe mjamaa!!!
 
True ile stend tungekopa word bank just imagine ile stend ndo ya gharama ya juu just for 53b yaa arusha hawezi fika hata 27b hayo si makusanyo ya halmashauri tu
 
Unaomba hela ya kujenga stendi wakati huo huo unajenga SGR kwa pesa za ndani
 
Mama ameimgia amekuta hazina imejaa ndo alizotumia kuwa promote baadhi ya watumishi .halafu elewa mkuu waajiriw wa serikali hawafiki hata laki 6 .kuwa hiyo magu anaangalia athari za uchumi kwa watanzania waliobaki just karibi 60 ml .
 
Stendi ipi hiyo ya kisasa wanayotaka kujenga?

Ile ya Mbezi ilipigiwa debe itakuwa ya kisasa, lakini hadi sasa jengo tu ndio la kisasa labda...
 
Awamu ya 5 hawakufanya lolote zaidi ya majisifu tu .

Miradi mingi ilikuwa ni ya awamu ya mh Kikwete.
Do ..chuki chuki ..chuki utakufa nalo mkuu
Mmpe heshima yake japo hatupo naye
 
Sina takwimu Ila barabara nyingi za lami na madaraja Ni kipindi Cha JK. Kuliko awamu zote kwa uwiano.
Kipindi cha jk unazungumzia miaka 10 .jpm ametawala kwa 5 Yr huoni tofauti
 
Mama ameimgia amekuta hazina imejaa ndo alizotumia kuwa promote baadhi ya watumishi .halafu elewa mkuu waajiriw wa serikali hawafiki hata laki 6 .kuwa hiyo magu anaangalia athari za uchumi kwa watanzania waliobaki just karibi 60 ml .
Jpm alikomba hazina ikabaki empty mama anahangaika

 
Kama tuliweza kula na kunywa chini ya shetani sidhan kama kuna gumu lolote litatuweza. Hata wamweke kobe kuongoza hatuna shida. If you managed to survive under Jiwe then nothing else can defeat you.
Ku-'survive'?
Hilo halina shaka, tutasavaivu tu mkuu hata tukanyagwe utosini inaonyesha waTanzania wata-'savavivu' tu!

Hapa linalotia majonzi mioyoni ni hadhi ya nchi yetu Tanzania. Tutasavaivu, lakini heshima ya nchi yetu itakuwa imegaragazwa kwenye tope na uchafu wa jalalani. Hili linasikitisha sana.
 
Awamu ya 5 hawakufanya lolote zaidi ya majisifu tu .

Miradi mingi ilikuwa ni ya awamu ya mh Kikwete.
Kama upi mfano? Kikwete aliyeshindwa kujenga hata stendi,kaacha amejenga stendi ya daradala ya mbezi πŸ˜πŸ˜€πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…