Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

Alafu kwenye hotuba zake anatuambia kuwa ni fedha zetu za ndani.

Ni mahera yetu maana sisi ni matajiiiiriiii sana.
 
Kuna tetesi kuwa kuna systema JPM (R.I.P) alitengenezewa yakuangalia performance ya ukusanyaji mapato na utekelezaji wa miradi pamoja na transactions zake nchini at any time t.

Sina hakika kama system hiyo ipo active kama tetesi ni za kweli.
SASAHIVI WAMWIUA..WANATUMIA MANUALS
 
WanaCCM mmezoea unafiki na mnaona Mtu muwazi anawadhalilisha. Huyo u ayemsifia ndo kaua mashirika ya Umma Kwa mikopo kamdamizi, ndo kapaisha deni la Taifa kimyakimya Hadi nchi inanula madeni. Acheni unafiki.
Watanzania wengi ni wanafiki hasa wale wa lumumba
 
Huu ndio ukweli , jamaa alikuwa muongo ni balaa, ameicha nchi kwenye umaskini mkubwa, na Kama Ange kaa miaka kumi , vazi la Taifa lingekuwa ni kaniki
Na wana ccm wangeshangilia tu
 
Awamu ya 5 hawakufanya lolote zaidi ya majisifu tu .

Miradi mingi ilikuwa ni ya awamu ya mh Kikwete.
 
Zenji ina meremeta
 
Huyo ni Chifu Matonya baada ya kutawazwa rasmi na wagogo na kupewa Uchifu. Ndege wanadai tunanunua kwa cash lakini wakati huo huo pesa ya kujenga stendi ya mabasi hatuna!!! Chifu Matonya inabidi atembeze bakuli lake!!! 😂😂

 
Hajatamka anakopa wapi? Inawezekana ikawa kwenye mabenki ya Ndani ya Tanzania. Siasa za kuwambia wananchi ukweli ni nzuri zaidi kuliko kuwambia uwongo na kuwachukulia wananchi kama hawana uwelewa wa mambo ya dunia.
 
Sina takwimu Ila barabara nyingi za lami na madaraja Ni kipindi Cha JK. Kuliko awamu zote kwa uwiano.
 
Dah!! Magufuli alitufanya tuwe Proud sana na nchi yetu.. sasa huyu ametugeuza kuwa ombaomba.. maisha yanaenda kasi sana..
 
Na wewe ni yatima au mjane wa Sukuma gang?

Mama Samia ni yeye mpaka 2040 elewa hili kwanza ili usipate kisukari bure.
Uwe unajadili hoja acha ujinga! Mama Samia anapokosea aambiwe sio kushabikia tu kila anachofanya!
 
Magufuli alikuwa MWONGO na akasababisha hata wa chini yake kuwa waongo. Na hata alipokufa tuliendelea kuambiwa uwongo na Majaliwa kuwa yuko ofsini anapitia mafaili.

Rais SSH endelea kuwa mkweli, penye hatuna pesa ongeza tozo au kakope, period
…..eti yupo ofisini anapitia mafaili…ahhaaaaaa!
 
Awamu ya 5 hawakufanya lolote zaidi ya majisifu tu .

Miradi mingi ilikuwa ni ya awamu ya mh Kikwete.
Mimi nakuambia huyo Mkwere fisadi ujenzi asingekuwa waziri Magufuli asingefanya lelote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…