Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hakuna jambo jema hapo.Sichanji mimi na family yangu.Ni Jambo jema kwakweli watu wachanje
Rais Samia amesema zoezi la uchanjaji limekwenda vizuri lakini kwa sasa kumekuwa na kasi ndogo hivyo serikali imejipanga kuja na kampeni kubwa zaidi ya kuhamasisha uchanjaji ili kujikinga na virusi vya corona
Rais amesema hayo alipokuwa katika baraza la Eid, Dar es Salaam
Dah Mungu wangu, yaani serikali ilivyolazimisha watu wa vijijini kuchoma hizo chanjo wakati wengine hata mjini hawajawahi kufika, Mungu tunakulilia tuepushe. Hilo dili la kupata 10% za chanjo lishindwe kabisa. Serikali isitudanganye kabisa, baada ya watu wa mijini kugoma, chanjo zilipelekwa vijijini na huko watu walichoma hizo sindano chini ya polisi au kukataliwa kutibiwa mpaka wawe wamechanja, yaani ktk hili serikali ilifanya ukatili mkubwa sana. Sasa serikali inaposema eti kampeni hivi hawajui kiwanda cha chanjo SA kinafungwa kwa kukosa dili?? Au ndiyo TZ inatafutiwa dili???? Yaani badala ya kushughulikia kupunguza gharama za maisha serikali inataka kuua watu ili kupunguza idadi ya watu??? Yaani hapa link ya Bill gate sasa iko live, Mungu atusaidie. Mi sichomi!!!!Rais Samia amesema zoezi la uchanjaji limekwenda vizuri lakini kwa sasa kumekuwa na kasi ndogo hivyo serikali imejipanga kuja na kampeni kubwa zaidi ya kuhamasisha uchanjaji ili kujikinga na virusi vya corona
Rais amesema hayo alipokuwa katika baraza la Eid, Dar es Salaam
Zitapelekwa kwenda kuua watu vijijini huko maporiniHATUCHANJI!!
Rais aachane na haya mambo ya wazungu, watu walio karibu na rais wampe ukweli ili ajue mambo ya msingi ya kufanyia kazi. Watu wanakabiliwa na ugumu wa maisha, bei zimepanda, umeme hauweleweki, usalama wa raia ni tabu tupu sasa hivi mitaani kuna vikundi vya kigaidi wanoitwa panya road.Rais Samia amesema zoezi la uchanjaji limekwenda vizuri lakini kwa sasa kumekuwa na kasi ndogo hivyo serikali imejipanga kuja na kampeni kubwa zaidi ya kuhamasisha uchanjaji ili kujikinga na virusi vya corona
Rais amesema hayo alipokuwa katika baraza la Eid, Dar es Salaam
NWO kabisa. Yaani hivi kwa nini Mungu anatuacha tuangamie hivi hivi????? Dkt Magufuli alitulinda ila basi tu, Mungu wetu tu hai atatutetea na huu ushetaniNdicho kilichompeleka USA hicho, na bado hamjaoana kitu, mtamalizwa wote, NWO at work!
Kikubwa kwa watu wenye uwelewa kama hivi nikuwajulisha wengine waachane na ujinga huu kwa mifano ya kutosha ili wajue wafahamu na waaelewe ukweli.NWO kabisa. Yaani hivi kwa nini Mungu anatuacha tuangamie hivi hivi????? Dkt Magufuli alitulinda ila basi tu, Mungu wetu tu hai atatutetea na huu ushetani
Ndugu yangu Unajua Mtu ukiwa kiongozi halafu unatumia Akili pekeyake na tena unakuta Akili uenyewe tayali ina GIZA bila ya Hekima natena unakuta hekima yenyewe ya Kibinaadamu iliyo ndani ya Boksi daaaaaahRais aachane na haya mambo ya wazungu, watu walio karibu na rais wampe ukweli ili ajue mambo ya msingi ya kufanyia kazi. Watu wanakabiliwa na ugumu wa maisha, bei zimepanda, umeme hauweleweki, usalama wa raia ni tabu tupu sasa hivi mitaani kuna vikundi vya kigaidi wanoitwa panya road.
Na raiti kama watu tungelifahamu CHAKULA ndiyo msingi wa kwanza wa Mwili kupata afya na si chakula kama haya maujinga tunayo kula sikuizi Chakula Asili moja kwa moja Aridhini haijalishi matunda wala nini Vyote ni CHAKULAWatu imarisheni immunity kwa lishe sahihi. Hii approach ya chanjo inaonekana sio bora kama tulivyotarajia. Watu wengine wameshapiga booster1, booster2, booster3, lakini bado hakijaeleweka!