Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Hhhmmpwayungu village njoo uongeze maarifa. Sio walimu tu wenye malalamiko, ni watumishi wote isipokuwa kmk na rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhmmpwayungu village njoo uongeze maarifa. Sio walimu tu wenye malalamiko, ni watumishi wote isipokuwa kmk na rais.
Mama aende Tamisemi ndio pameoza, kabisa.
Kwanza wanapozidiwa huwashukia watumishi wa chini. Tena wanawaonea Sana walimu.
Tamisemi hawajali maisha duni ya mtumishi. Fikiria mwalimu anafanya kazi za ujenzi, anafundisha watoto, anawalea watoto, yeye ndio kila kitu. Sasa basi, wakati wa ujenzi mwalimu akishatoka zake nyumbani break shuleni, asimamie ujenzi, mhandisi, au afisa Elimu Hadi gari iwekwe mafuta, mwalimu akifanya ufuatiliaji wa vifaa vya ujenzi Hawa maafisa wao Hadi wawekewe wese. Huyu mwalimu nauli ya kuzunguka huku na huko anapewa na nani.
Mh Rais. Zamani mwalimu akihitimu mafunzo alikuwa anaitwa Efisa Elimu(bachelor degree, diploma) wale walimu kule Tamisemi wakaona haiwezekani wao wawe na cheo kinachooanza afisa, halafu Kuna afisa mwalimu? ! Haiwezekani wakaona mwalimu aitwe mwalimu na afisa abaki hivyo, ni ujinga Sana kujibagua kubaguzi na kinafiki, kifupi viongozi ni wanafiki na wazandiki.
Wakuu wa shule walikaa enzi za Mh kikwete sijui walimdanya nini wakapewa posho ya madaraka Kwa mwezi mwalimu wa watu anapata nini ambapo yeye ndiye hufanya kazi zote za mwalimu mkuu?
Kiufupi ukombozi bado unahitajika. Huyu anayekaa na mtoto muda wote Masaa mengi aheshimiwe.
Ova