Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Siyi siri, matukio ya hivi karibuni dhidi ya vyama vya upinzani hayajafurahisha Kitaifa wala Kimataifa.
Hatua za kuvichukulia hatua vyama hivyo kwa kutumia nguvu ya dola na si nguvu ya hoja, imezua wingu zito juu ya dhamira ya Rais kiuchumi.
Wengi tunajiuliza, je Mama anahujumiwa?
Hata hivyo the damage has been done!
Mama for your admirers ulianza vizuri na kumbuka hoja itapingwa na hoja nzuri zaidi na si dola.