Hakuna aliye juu ya sheria ktk nchi hii
Sabaya alipokamatwa wote tulishangilia tukasema Mamá anaupiga mwingi sana, kwamba anatenda haki,
leo kadakwa Mbowe tunaanza kulialia eti hatendi haki
Sasa kuwa Mwenyekiti wa chama ndio ngao ya yeye kutokuchunguzwa au kuchukuliwa hatua!???
Na kuonesha namna Mbowe alivyo mnafiki,, kwenye msiba wa Kaka yake hakutaka watu wakusanyike msibani kisa kuepusha maambukizi ya Corona,
Msiba umeisha akawahi Mwanza kwenda kufanya mikusanyiko
Kwahyo Jamii yake ni bora sana ndio maana akailinda kuepusha maambukizi ila Jamii ya wanaMwanza wakafie mbali
Huu ni unafiki wenye roho ya uuaji na roho ya kishetani