Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi bado sijataka kuamini kama kweli ni yeye au la.Siyi siri, matukio ya hivi karibuni dhidi ya vyama vya upinzani hayajafurahisha kitaifa wala kimataifa.
Hatua za kuvichukulia hatua vyama hivyo kwa kutumia nguvu ya dola na si nguvu ya hoja, imezua wingu zito juu ya dhamira ya mama kiuchumi.
Wengi tunajiuliza, je Mama anahujumiwa?
Hata hivyo the damage has been done!
Mama for your admirers ulianza vizuri na kumbuka hoja itapingwa na hoja nzuri zaidi na si dola.
Mmeacha majonzi tena ya kumlilia shetani jiwe mmerudi kwa mama yetu?Chadema mlifanya makosa sana tangia awali.
Yule ni Rais ,
Sio mama kama mnavyomuaddress.
Ndio ni mama ila akiwa na familia yake lakini haiondoi ukweli kuwa yule ni Rais wa JMT.
Mkitambua hilo mtafahamu namna ya kwenda nae.
Mama ametekwa na Majangiri wa kibinadamu. Tulimuonya afanye overhaul akasitasita. Yanaweza kumkuta asipate wa kumwokoa.Siyi siri, matukio ya hivi karibuni dhidi ya vyama vya upinzani hayajafurahisha kitaifa wala kimataifa.
Hatua za kuvichukulia hatua vyama hivyo kwa kutumia nguvu ya dola na si nguvu ya hoja, imezua wingu zito juu ya dhamira ya mama kiuchumi.
Wengi tunajiuliza, je Mama anahujumiwa?
Hata hivyo the damage has been done!
Mama for your admirers ulianza vizuri na kumbuka hoja itapingwa na hoja nzuri zaidi na si dola.
Wewe kweli kwa akili zako unaona Mbowe ni wa kulinganishwa na Sabaya? Kuitisha mkutano wa katiba ndio inakuwa kosa la ugaidi?! Inaona ni sawa tu!Hakuna aliye juu ya sheria ktk nchi hii
Sabaya alipokamatwa wote tulishangilia tukasema Mamá anaupiga mwingi sana, kwamba anatenda haki,
leo kadakwa Mbowe tunaanza kulialia eti hatendi haki
Sasa kuwa Mwenyekiti wa chama ndio ngao ya yeye kutokuchunguzwa au kuchukuliwa hatua!???
Na kuonesha namna Mbowe alivyo mnafiki,, kwenye msiba wa Kaka yake hakutaka watu wakusanyike msibani kisa kuepusha maambukizi ya Corona,
Msiba umeisha akawahi Mwanza kwenda kufanya mikusanyiko
Kwahyo Jamii yake ni bora sana ndio maana akailinda kuepusha maambukizi ila Jamii ya wanaMwanza wakafie mbali
Huu ni unafiki wenye roho ya uuaji na roho ya kishetani
Na ule mkusanyiko wa Simba vs YANGA kule Kigoma vipi?!!!..huu wakat s mzur kufanya mikusanyiko,,
Yaani hata aibu huna! Mama aache magaidi wahujumu nchi watambe tu! by the way hawajakamatwa na Mama wamekamatwa kwa mujibu wa sheriaSiyi siri, matukio ya hivi karibuni dhidi ya vyama vya upinzani hayajafurahisha kitaifa wala kimataifa.
Hatua za kuvichukulia hatua vyama hivyo kwa kutumia nguvu ya dola na si nguvu ya hoja, imezua wingu zito juu ya dhamira ya mama kiuchumi.
Wengi tunajiuliza, je Mama anahujumiwa?
Hata hivyo the damage has been done!
Mama for your admirers ulianza vizuri na kumbuka hoja itapingwa na hoja nzuri zaidi na si dola.
Mbowe ni zaidi ya gaidi. Ova.Hakuna aliye juu ya sheria ktk nchi hii
Sabaya alipokamatwa wote tulishangilia tukasema Mamá anaupiga mwingi sana, kwamba anatenda haki,
leo kadakwa Mbowe tunaanza kulialia eti hatendi haki
Sasa kuwa Mwenyekiti wa chama ndio ngao ya yeye kutokuchunguzwa au kuchukuliwa hatua!???
Na kuonesha namna Mbowe alivyo mnafiki,, kwenye msiba wa Kaka yake hakutaka watu wakusanyike msibani kisa kuepusha maambukizi ya Corona,
Msiba umeisha akawahi Mwanza kwenda kufanya mikusanyiko
Kwahyo Jamii yake ni bora sana ndio maana akailinda kuepusha maambukizi ila Jamii ya wanaMwanza wakafie mbali
Huu ni unafiki wenye roho ya uuaji na roho ya kishetani
Alisha sema mimi ni Mama.Chadema mlifanya makosa sana tangia awali.
Yule ni Rais ,
Sio mama kama mnavyomuaddress.
Ndio ni mama ila akiwa na familia yake lakini haiondoi ukweli kuwa yule ni Rais wa JMT.
Mkitambua hilo mtafahamu namna ya kwenda nae.
Ndio maana wanashangaa wanapokutana na Rais.Alisha sema mimi ni Mama.
Ni ujinga ulioje kuamini kuwa chama cha upinzani wanafuga magaidi.Yaani hata aibu huna! Mama aache magaidi wahujumu nchi watambe tu! by the way hawajakamatwa na Mama wamekamatwa kwa mujibu wa sheria
Kana alivyo gaidi Sabaya mliemfuga!Mbowe ni zaidi ya gaidi. Ova.
Mimi sidhanii kwamba sasa Serukali ya Mama Samia inaendesga sera za Mwendazake za kubambika kesi.Ni ujinga ulioje kuamini kuwa chama cha upinzani wanafuga magaidi.
Ugaidi ulikuwa ule wa MKIRU.
Watu wameandikishwa katika daftari la vyama vya kisiasa, kikatiba halafu mijitu mijinga mijinga inawaita magaidi.
Mama anahujumiwa na watu kama ninyi wa Mwendazake.
Huyu ni hatari sn hafai kuwa kiongozi ni zaidi ya gaidiSiyi siri, matukio ya hivi karibuni dhidi ya vyama vya upinzani hayajafurahisha kitaifa wala kimataifa.
Hatua za kuvichukulia hatua vyama hivyo kwa kutumia nguvu ya dola na si nguvu ya hoja, imezua wingu zito juu ya dhamira ya mama kiuchumi.
Wengi tunajiuliza, je Mama anahujumiwa?
Hata hivyo the damage has been done!
Mama for your admirers ulianza vizuri na kumbuka hoja itapingwa na hoja nzuri zaidi na si dola.
Kweli katiba lazima tuidai kwa nguvu zetu zoteMi sidhani kama kuna wakati maalumu wa kudai katiba. Hata wangesubiri baadaye wangeambiwa mlikuwa wapi kipindi cha mwanzo? Sasa hivi nipo busy na mambo ya msingi.
Kajifunze kwanza kiswahili Bashite mkubwanashauli mama atowe hicho kipengele kwenye katiba kinachowapa kchwa dema!!aweke kipengele kitakacholuhusu siasa baada ya mika 5 tu,,, maana ukivunja sheria et umeonewa mama alisema wamuache kwanza anajua jambo hilo ila wao wana fanya mikusannyiko kinyume na sheria mbali na hilo huu wakat s mzur kufanya mikusanyiko,, chadomo bwana vichwa ngumu kabisa,,,tena mama akaze kamba hawa watu sio wa kuwachekea watakuingza pabaya.
Mwenge mbona unazunguka au corona inaogopa mwenge?Unachokitetea ni upumbavu. Je viongozi wa serikali ngazi zote wamesimamisha kukutana na wananchi ?!. Tumeshuhudia mawaziri , wakuu wa mikoa na wakuu wenyewe kila siku wakikutana na wananchi .
Kongamano la Cdm lilikuwa na zaidi ya mwezi imeandaliwa kufanyika tena katika ukumbi na si mkutano wa hadhara . Na kinachodaiwa ni katiba mpya ya wananchi wote, si ya Cdm .
Leo mbona wanawaachia bila dhamana au masharti ?!. Kitumia nguvu ya dola kudhoofisha wapinzani wako si sawa. Ni uoga