Rais Samia tunasikitika kuona unaiumiza legacy yako uliyoanza kuijenga vizuri

Chadema mlifanya makosa sana tangia awali.

Yule ni Rais ,

Sio mama kama mnavyomuaddress.

Ndio ni mama ila akiwa na familia yake lakini haiondoi ukweli kuwa yule ni Rais wa JMT.

Mkitambua hilo mtafahamu namna ya kwenda nae.
 
Mimi bado sijataka kuamini kama kweli ni yeye au la.
 
Chadema mlifanya makosa sana tangia awali.

Yule ni Rais ,

Sio mama kama mnavyomuaddress.

Ndio ni mama ila akiwa na familia yake lakini haiondoi ukweli kuwa yule ni Rais wa JMT.

Mkitambua hilo mtafahamu namna ya kwenda nae.
Mmeacha majonzi tena ya kumlilia shetani jiwe mmerudi kwa mama yetu?
 
Mama ametekwa na Majangiri wa kibinadamu. Tulimuonya afanye overhaul akasitasita. Yanaweza kumkuta asipate wa kumwokoa.
 
Wewe kweli kwa akili zako unaona Mbowe ni wa kulinganishwa na Sabaya? Kuitisha mkutano wa katiba ndio inakuwa kosa la ugaidi?! Inaona ni sawa tu!
 
Yaani hata aibu huna! Mama aache magaidi wahujumu nchi watambe tu! by the way hawajakamatwa na Mama wamekamatwa kwa mujibu wa sheria
 
Mbowe ni zaidi ya gaidi. Ova.
 
Chadema mlifanya makosa sana tangia awali.

Yule ni Rais ,

Sio mama kama mnavyomuaddress.

Ndio ni mama ila akiwa na familia yake lakini haiondoi ukweli kuwa yule ni Rais wa JMT.

Mkitambua hilo mtafahamu namna ya kwenda nae.
Alisha sema mimi ni Mama.
 
Gaidi Mbowe yupo chini ya ulinzi salama wa Polisi, nchi nzima imetulia hakuna matukio ya ajabu ajabu kama Uamsho walivyowekwa sehemu salama na Zenji ikatulia.
 
Yaani hata aibu huna! Mama aache magaidi wahujumu nchi watambe tu! by the way hawajakamatwa na Mama wamekamatwa kwa mujibu wa sheria
Ni ujinga ulioje kuamini kuwa chama cha upinzani wanafuga magaidi.
Ugaidi ulikuwa ule wa MKIRU.
Watu wameandikishwa katika daftari la vyama vya kisiasa, kikatiba halafu mijitu mijinga mijinga inawaita magaidi.
Mama anahujumiwa na watu kama ninyi wa Mwendazake.
 
Mimi sidhanii kwamba sasa Serukali ya Mama Samia inaendesga sera za Mwendazake za kubambika kesi.
Kuna watu mana anawainea haya, achukue hatua.
 
Huyu ni hatari sn hafai kuwa kiongozi ni zaidi ya gaidi
 
Kajifunze kwanza kiswahili Bashite mkubwa
 
Mwenge mbona unazunguka au corona inaogopa mwenge?
 
Huyu bibi ni zaidi ya gaidi, katiba mpya imemtisha mpaka anafungulia watu kesi za ugaidi? hatari sn
 
'Team uchaguzi 2025' imeshamuweka kati kummaliza bila yeye kujua.
Bado kitambo kdg atakuja kugundua kuwa magaidi anao ndani ya chama chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…