Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
VisionMbona hatuwaelewi?!
Aliyekuwa bosi wake alisisitiza kuzaliane kwa wingi kwakuwa sisi ni matajiri..
Tena akisema fyatua...
Yeye leo analalamika! Msimamo wa nxhi ni upi?
N.B tuwe na dira ya nchi.
Wabongo tunatwangana ppumbu bana,asikwambie mtu,yaani juzi tu tulikua 40m Leo tupo 65,sensa ijayo 80mkoa wa simiyu dogo wa miaka 29 ana watoto 5 hata nyumba hana ukimuuliza sababu za kuzaliana kwa pupa hana sababu za maana
wanaona kuzaliana sana kunakuza brand
Nchi hii tuna rasilimali nyingi ambazo zinatumika kuwaneemesha watu wachache hakuna shida ya watu kuongezeka ni jambo la kushangaza mgombea kununua pikipiki zaidi ya 700 za kufanyia kampeni ili huduma zingine zinaendelea kusuasuaSasa hivi mnazaa tu watoto wadogo , kila siku nawaambia hakuna faida ya kuzaana labda wale matajiri .
Uzazi wa mpango ni jambo muhimu.Mbona hatuwaelewi?!
Aliyekuwa bosi wake alisisitiza kuzaliane kwa wingi kwakuwa sisi ni matajiri..
Tena akisema fyatua...
Yeye leo analalamika! Msimamo wa nxhi ni upi?
N.B tuwe na dira ya nchi.
Serikali haitekelezi majukumu yake ya kuelemisha na kuhamasisha watu ipasavyo kuhusu uzazi wa mpango.mkoa wa simiyu dogo wa miaka 29 ana watoto 5 hata nyumba hana ukimuuliza sababu za kuzaliana kwa pupa hana sababu za maana
wanaona kuzaliana sana kunakuza brand
Kichaa babayakoKichaa yule alikua na ilani yake binafsi
Japan ni taifa la miaka zaidi ya 3,000.Tatizo hatuna mipango...
Japan ki inchi ni ndogo kuliko
Tanzania lakini population yao wametuzidi,wenzetu wana mipango...
Ova
Ishu ya msingi kuzaliana ,kunq nchi zina population pressure kubwa kuliko Tanzania, But sie tuna resources kibao but hakuna maono ,uroho, ubinfsi.Shida sio kwamba kuzaliana hii Nchi ni vile umekoswa viongozi wenye maono tu. Maana tuna Kila kitu isipokuwa akiri