Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Tanzania hata tuzaliane Kila family iwe na watoto15 hatuwezi banana kamwe! Walishindwa wazee wenu kutujaza walikuwa na nguvu nkIshu ya msingi kuzaliana ,kunq nchi zina population pressure kubwa kuliko Tanzania, But sie tuna resources kibao but hakuna maono ,uroho, ubinfsi.
I think kuna mtu ataingiza kukubalian na wakina Gates foundation kuhusu depopulation, Yuko sawasawa na Dada Tina yule muimbaji ( Wanawake wasizae, she said)
Shida kubwa hatuna viongozi wenye maono. Viongozi tulio nao maono Yao ni ufisadi tu.
Hawa wazi kesho ya vitukuu vyao. Iwapo tu tukajariwa akiri tukawa na viongozi dhabiti Kwa Mali tulizo nazo hata kulipwa tunaweza kuwa tunalipwa
Kwa uchache tu
Tuna madini ya Kila aina
Maziwa yenye samaki tele
Mbuga za wanyama
Ges
Makaa ya mawe/chuma
Tuna mashamba yenye rutuba yanayoweza kulimwa Kwa kipindi chote bila kutegemea mvua!
Nk nk
Lakini akiri ndo hatuna kabisa.
Huwa nilisafiri Hadi nawaza ni lini Tz tutabanana.
Mfano Kuna route Moja ukitoka babati unaenda Arusha huoni nyumba ni mashamba na miti hata ukiona nyumba za mbalimbali sana
Tz tuna maeneo makubwa sana huenda eneo lisilo kaliwa na watu na lisilo limwa ndo kubwa hata 57%