Rais Samia, tuondolee huyu RC Amos Makalla mkoa wa Dar es Salaam

Hebu nitokee hapa Hopeless Mmoja Wewe.
 
Bring Back Makonda,
Mkoa wa Dar ulinyoonywa na Yusuph Makamba na Paul Makonda tu,
Huu Mkoa bila kiongozi kujitoa ufahamu ni ngumu sana kuuendesha.
 
Unamuondoaje mtu anayelinda maslahi yako?
 
Mkuu unamchongea jirani yako mliyecheza naye utotoni!😀😀
 
Hebu nitokee hapa Hopeless Mmoja Wewe.
lete hoja za msingi, hoja kwamba aondolewe kwa sababu hajaendeleza nyumba yao ya urithi ni hoja mfisilisi isiyo na mashiko na siyo hoja ya kuiweka mezani!
 
Nyie mnalala mnakoroma vifuani mwa wake zeni mnashindwa kuungana kuuwa hao watoto wa panyaroad?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…