Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Yule jamaa alipotosha sana watu.....Good, tuache maigizo kwenye afya za watu, mara sijui mapapai, mbuzi, kujifukiza, tangawizi, maembe na ujinga mwingine.
Eti papai lina corona!! Hivi ukichukua sample ya mkojo ukaweka kwenye kipimio cha malaria unategemea majibu yatakuwaje? Kwanza kipimio chenyewe unakuwa umekichanganya kabisa! Jiwe sijui chemistry yake alisomea wapi.Good, tuache maigizo kwenye afya za watu, mara sijui mapapai, mbuzi, kujifukiza, tangawizi, maembe na ujinga mwingine.
Ndiyo maana tuna ambiwa alikuwa na file MirembeEti papai lina corona!! Hivi ukichukua sample ya mkojo ukaweka kwenye kipimio cha malaria unategemea majibu yatakuwaje? Kwanza kipimio chenyewe unakuwa umekichanganya kabisa! Jiwe sijui chemistry yake alisomea wapi.
... Mh. waziri wa fedha keshafafanua inaletwa chanjo ile ile waliyochanjwa Biden na Trump! Mbona hamuelewi?Watuletee tu maana ni kawaida kutufanya panya wa maabara, leteni COVAX tuchome nyie mmeishachoma Pfizer!, kama ARV tunazotumia sisi ni Made in India na Pakistan wakati wenyewe wanameza Made in Italy na UK alafu wanatwambia zote ni Sawa tu!
... now you are talking! Tunaongea lugha moja sasa!Ni ipi hasa inayoletwa Pfizer,Johnson&Johnson au Moderna?
Au ni Ile Abdala ya Cuba ama bado ni Siri.
Badala ya kuendelea na kauli kama,"Itakuwa hiari" ni vyema elimu itolewe kuhamasisha watu waone umuhimu wa hiyo chanjo.
Good, tuache maigizo kwenye afya za watu, mara sijui mapapai, mbuzi, kujifukiza, tangawizi, maembe na ujinga mwingine.
Mataga watakuua mama, kuwa nao makini, mlichelewa kuileta mpaka corona ikamuua Joni Kilevi makufuliRais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kuagiza chanjo ya COVID19
Amesema ni muhimu iwepo ili anayetaka kuchoma aipate kiurahisi kwa kuwa matum,izi ya chanjo hiyo itakuwa hiyari
Amesema hayo alipokuwa katika Kongamano la Kumbukumbu ya Rais wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin Mkapa
Hhaahahhaa...!! Wanaosema wanataka kuitoa CCM waitoe ila Mama yetu watuachie hapohapo alipoGood, tuache maigizo kwenye afya za watu, mara sijui mapapai, mbuzi, kujifukiza, tangawizi, maembe na ujinga mwingine.
... asante sana Mheshimiwa Rais; harakisheni hizo chanjo watanzania tunateketea! Asiyetaka akafie mbali; hutaki tiba tupishe.
Hongera sana Mama kwa moyo wa kishujaa wapendwa wetu wengi wamekwenda na Corona sababu wataalam hawakupewa nafasi zikabaki siasa na kubrainwash watu ambao mpaka sana kuna wengine wako gizaniRais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kuagiza chanjo ya COVID19
Amesema ni muhimu iwepo ili anayetaka kuchoma aipate kiurahisi kwa kuwa matum,izi ya chanjo hiyo itakuwa hiyari
Amesema hayo alipokuwa katika Kongamano la Kumbukumbu ya Rais wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin Mkapa