Najiuliza hii chanjo kutolewa kwa hiari hakuwezi kuleta madhara huko mbele ya safari kwa wale watakaokuwa hawajachanjwa kuendeleza maambukizi?
Sikumbuki kama na huko kwingine duniani hiyo chanjo ilitolewa kwa hiari, mfano tunaona nchi kama Uganda, japo wapo waliochanjwa lakini bado Corona inawasumbua.
Hii Corona tusipoichukulia serious tutakuwa tunajaza maji kwenye ndoo iliyotoboka, kama chanjo wanaziamini hazina madhara, kwanini zisiwe lazima, wengine wataelewa umuhimu wakishachanjwa.
Mambo huenda pole pole mkuu.
Baadaye kama huna chanjo hakuna admission here and there.
Muhimu ni kuchanjwa kwanza. Wengine watajiju.