Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Sio tacle ni begaHaya sasa hayawi hayawi yanakaribia kuwa nendeni katengeni takle sindano iwaingie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tacle ni begaHaya sasa hayawi hayawi yanakaribia kuwa nendeni katengeni takle sindano iwaingie.
Hakuna chanjo inayokamilisha majaribio ndani ya mwaka mmoja......minimum angalau miaka 5.Hueleweki. Mjaribio yalishapita. Labda useme hukuwa na habari walipoanza majaribio. Yalianza mwezi May mwaka jana na phase ya mwisho ilikuwa mwezi November mwaka jana.
Nakumbuka chanjo uya meningitis ,ilibidi polisi waletwe kuzuia vurugu za watu kugombea chanjo,maana manesi walikuwa wanapitisha ndugu zao tu.Mkuu duniani karibu kila sehemu chanjo ni hiari. Ulaya, Marekani na Asia kote ni hiari. Uzuri ni kuwa nchi nyingi watu wana akili hivyo wamejitokeza kuchanja. Upinzani wa kijinga naona upo Bongo tu. Nadhani hata wanaopinga ni wajinga wachache tu. Utashangaa zikija watu watakavyozigombania.
🤣Kwani chanjo zote ulizotengeneza zilichukuwa miaka angau mitano ewe mtaalam wa kiafrika? Hebu nitajia angalau moja! Kukaririshwa bila kutumia akili ni kitu kibaya sana. Hii unaonyesha najadiliana mtu asiye na abc za nini kumetokea tangu chanjo zianze hatua ya mwanzo kabisa. Kwa namna hii nitakusamahe unapokuwa unaandika maluweluwe unayoandika.Hakuna chanjo inayokamilisha majaribio ndani ya mwaka mmoja......minimum angalau miaka 5.
Hata hii ikija itapa watu wengi tu. Magufuli alidharau mwishowe yakampata. Mawaziri wake wengi walikuwa wametoroka kwenda kuchanja yeye akadhani wanamtii. Hata hivyo siwacheki. Ni mjinga tu angesikiliza ''utaalam'' wake fyongo.Nakumbuka chanjo uya meningitis ,ilibidi polisi waletwe kuzuia vurugu za watu kugombea chanjo,maana manesi walikuwa wanapitisha ndugu zao tu.
Kuna ambazo zilikamilisha majaribio baada ya miaka 30......utatujazia fomu yetu ili ushiriki kwenye jaribio letu, thank you in advance...🤣Kwani chanjo zote ulizotengeneza zilichukuwa miaka angau mitano ewe mtaalam wa kiafrika? Hebu nitajia angalau moja! Kukaririshwa bila kutumia akili ni kitu kibaya sana. Hii unaonyesha najadiliana mtu asiye na abc za nini kumetokea tangu chanjo zianze hatua ya mwanzo kabisa. Kwa namna hii nitakusamahe unapokuwa unaandika maluweluwe unayoandika.
Meningitis ni ugonjwa gani?Nakumbuka chanjo uya meningitis ,ilibidi polisi waletwe kuzuia vurugu za watu kugombea chanjo,maana manesi walikuwa wanapitisha ndugu zao tu.
Homa ya uti wa mgongo.....Meningitis ni ugonjwa gani?
Hayo ni mambo yake binafsi kwani wewe unajua kila kitu kwa kila mtu unayemuamini?Kwa nini Gwajima anatafuna kondoo wake, tena anajirekodi? Wewe unayedanganywa na tapeli kama yule na mimi ni nani mjinga?
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kuagiza chanjo ya COVID19
Amesema ni muhimu iwepo ili anayetaka kuchoma aipate kiurahisi kwa kuwa matumizi ya chanjo hiyo itakuwa hiyari
Amesema hayo alipokuwa katika Kongamano la Kumbukumbu ya Rais wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin Mkapa
Wewe si ukapige nyungu au kuna mtu kakuzuia?Hizi ndo zile zilizoidhinishwa na ikulu ya marekani? naona panya wa majaribio wakijiandaa kushiriki kwenye utafiti wa mabeberu...
Labda ungemuuliza pia kwa Nini chanjo za Surua,pepopunda nk hazina consent form? Kwanini ya corona ihitaji consent form?Kama zimekamilisha hatua zote za majaribio na zikapata final approval, huhitaji ku sign consent form zinatakiwa tu ziambatane tu na information leaflets, sijui kama naeleweka...
Wanajua Kuna madhara Hawa.View attachment 1854063
Serikali kujitoa kwenye afya za watu wake ni hatari sana.......yaani ilete madhara useme huhusiki? Maana ya Serikali itakuwa haipo tena zaidi ya jina tu
Inaleta mashaka sanaWanajua Kuna madhara Hawa.
Halafu Kama wanazileta kwa Nia ya kusaidia watu wake kwanini wasibebe na mzigo wa madhara yatakayotokea?
Kama wewe u mtaalamu vile, mbona hushauri nchi hizi zote ambazo zimetumia bilioni nyingi kuchanja watu wao? Je hawatakai kuelewa kwamba wanaua raia wao?Hakuna chanjo inayokamilisha majaribio ndani ya mwaka mmoja......minimum angalau miaka 5.
Hakuna mtu atakuwa responsible kwa madhara yatayotokana na hiyo chanjo.
Dawa zote Zina side effects lakini mbona mfano zile za malaria tukinunua hatujazi fomu??Hiki kinachozungumziwa hapa ni sawa na "side effects" na dawa nyingi kwa kawaida zina "side effects" kwa watumiaji, ila sio watumiaji wote hudhuriwa na hizo "side effects", sasa hapa ni jukumu la serikali kuwaelewesha wananchi wake wajue hili jambo ili wengi wasiogope kuchanjwa.