#COVID19 Rais Samia: Tupo hatua za mwisho za kuagiza chanjo

Najiuliza hii chanjo kutolewa kwa hiari hakuwezi kuleta madhara huko mbele ya safari kwa wale watakaokuwa hawajachanjwa kuendeleza maambukizi?

Sikumbuki kama na huko kwingine duniani hiyo chanjo ilitolewa kwa hiari, mfano tunaona nchi kama Uganda, japo wapo waliochanjwa lakini bado Corona inawasumbua.

Hii Corona tusipoichukulia serious tutakuwa tunajaza maji kwenye ndoo iliyotoboka, kama chanjo wanaziamini hazina madhara, kwanini zisiwe lazima, wengine wataelewa umuhimu wakishachanjwa.
Kwa hiyo unataka kumlazimisha nani? mbw.a wee....aliyekwambia hazina madhara ni nani.....pumbav.
 
Hongera sana Mama kwa moyo wa kishujaa wapendwa wetu wengi wamekwenda na Corona sababu wataalam hawakupewa nafasi zikabaki siasa na kubrainwash watu ambao mpaka sana kuna wengine wako gizani
... inaumiza sana Mkuu. Mungu wa Mbinguni amwongoze na kumlinda Rais Samia!
 
... panya wa majaribio ni wale waliotegemea "herd immunity". Acha waambukizane weee hadi survival for the fittest! Huu ni uuwaji!
Kwa hiyo herd immunity ni jambo la kufirika, BTW hiyo sumu imekinga wangapi wasipate korona au wasife....
 
... sio kila tatizo approach fulani inaweza kutumika kulitatua. Herd immunity kwa Corona? You must be crazy to attempt it.
 
kwa ninayoendelea kuyaona, nitakuwa wa kwanza kuchomwa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kuagiza chanjo ya COVID19

Amesema ni muhimu iwepo ili anayetaka kuchoma aipate kiurahisi kwa kuwa matum,izi ya chanjo hiyo itakuwa hiyari

Amesema hayo alipokuwa katika Kongamano la Kumbukumbu ya Rais wa Awamu ya tatu, Hayati Benjamin Mkapa

Najiuliza hii chanjo kutolewa kwa hiari hakuwezi kuleta madhara huko mbele ya safari kwa wale watakaokuwa hawajachanjwa kuendeleza maambukizi?

Sikumbuki kama na huko kwingine duniani hiyo chanjo ilitolewa kwa hiari, mfano tunaona nchi kama Uganda, japo wapo waliochanjwa lakini bado Corona inawasumbua.

Hii Corona tusipoichukulia serious tutakuwa tunajaza maji kwenye ndoo iliyotoboka, kama chanjo wanaziamini hazina madhara, kwanini zisiwe lazima, wengine wataelewa umuhimu wakishachanjwa.
Chanjo siku zote ni hiari, kinachohitajika ni elimu kwa umma, kampeni za kuhamasisha wananchi kuipokea chanjo, kinachohitajika ni majority wawe wamechanjwa ili kufikia "herd immunity"
 
... sio kila tatizo approach fulani inaweza kutumika kulitatua. Herd immunity kwa Corona? You must be crazy to attempt it.
Kama herd immunity haiwezekani hata chanjo haziwezi kuwa effective ukizingatia hao virus wanabadilika badilika......
 
Najiuliza hii chanjo kutolewa kwa hiari hakuwezi kuleta madhara huko mbele ya safari kwa wale watakaokuwa hawajachanjwa kuendeleza maambukizi?

Sikumbuki kama na huko kwingine duniani hiyo chanjo ilitolewa kwa hiari, mfano tunaona nchi kama Uganda, japo wapo waliochanjwa lakini bado Corona inawasumbua.

Hii Corona tusipoichukulia serious tutakuwa tunajaza maji kwenye ndoo iliyotoboka, kama chanjo wanaziamini hazina madhara, kwanini zisiwe lazima, wengine wataelewa umuhimu wakishachanjwa.
Huwezi mlazimisha mtu ambaye haumwi. Akili ni nywele chanja wewe siyo uwasemee wengine.
 
... sio kila tatizo approach fulani inaweza kutumika kulitatua. Herd immunity kwa Corona? You must be crazy to attempt it.
Herd immunity inawezekana kwa corona, herd immunity inaweza kupatikana kwa kuchanja majority ya population katika muda mfupi, tatizo huko nyuma walikuwa wanataka herd immunity kwa kuacha kirusi kisambae kwa kasi na watu watengeneze kinga, hilo ndio haliwezekani !
 
Najiuliza hii chanjo kutolewa kwa hiari hakuwezi kuleta madhara huko mbele ya safari kwa wale watakaokuwa hawajachanjwa kuendeleza maambukizi?

Sikumbuki kama na huko kwingine duniani hiyo chanjo ilitolewa kwa hiari, mfano tunaona nchi kama Uganda, japo wapo waliochanjwa lakini bado Corona inawasumbua.

Hii Corona tusipoichukulia serious tutakuwa tunajaza maji kwenye ndoo iliyotoboka, kama chanjo wanaziamini hazina madhara, kwanini zisiwe lazima, wengine wataelewa umuhimu wakishachanjwa.
Nikitoa mfano wa Uingereza, kuchoma chanjo ni hiari. Ila wanakazana kutoa muongozo na kushawishi watu wachome. Halafu walichofanya nikuzuia baadhi ya shughuli, huduma au maeneo kutotumika na watu ambao hawajapata chanjo. Wakifanikiwa kuchoma zaidi ya asilimia 75 wataweza kufikia "herd immunity" ambayo italinda wote.

Chanjo haizuiii mtu kutopata Korona ila inapunguza makali yake ukipata. Tatizo nikuwa kirusi kinabadilika haraka sana. Ikitokea kikabadilika kiasi cha kutohimiliwa na chanjo zilizotengenezwa kwa sasa, tatizo litabaki pale pale. Ndio maana chanjo nyingine unachoma zaidi ya mara moja.

Kiukweli huu ugonjwa tunao kwa muda mrefu sana.
 
Herd immunity inawezekana kwa corona, herd immunity inaweza kupatikana kwa kuchanja majority ya population katika muda mfupi, tatizo huko nyuma walikuwa wanataka herd immunity kwa kuacha kirusi kisambae kwa kasi na watu watengeneze kinga, hilo ndio haliwezekani !
... at least that! Chanjo kwa majority that's OK lakini sio kuwaacha wananchi waambukizane bila control ya aina yoyote!
 
Najiuliza hii chanjo kutolewa kwa hiari hakuwezi kuleta madhara huko mbele ya safari kwa wale watakaokuwa hawajachanjwa kuendeleza maambukizi?

Sikumbuki kama na huko kwingine duniani hiyo chanjo ilitolewa kwa hiari, mfano tunaona nchi kama Uganda, japo wapo waliochanjwa lakini bado Corona inawasumbua.

Hii Corona tusipoichukulia serious tutakuwa tunajaza maji kwenye ndoo iliyotoboka, kama chanjo wanaziamini hazina madhara, kwanini zisiwe lazima, wengine wataelewa umuhimu wakishachanjwa.
pls jaribu kuelewa mambo, hakuna mtu anaweza kukulazimisha uende hosipitali ukiwa mgojwa kaa umetimia miaka 18,na ndio hii chanjo iko, sababu ya hii corona kuenea kwa kasi ni kwa kuwa watu wasiopata chajo ndio rahisi kusika corona na kufa
 
Back
Top Bottom