UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Uzuri ni kwamba hakulazimishwa ni sawa chanjo ambazo halazimishwi mtu, wapo ambao walitumia hayo malimao na wana ushuhuda wao na sie wengine hatukuangaika na malimao na wala hatuna mpango wa kuangaika na chanjo.Hata ingekuwa lazima bado ukitumia utaonekana mwendawazimu tu. Kuna mambo mengine common sense tu inakuambia huu ni ujinga. Mwendazake alikuwa amegeuza nchi ikawa kama ya mataahira watu wanakimbizana na malimao na tangawizi!