Hili hata yeye analifahamu 100%Hapo Gwajima ndoo Baaaasiiiiiiiiiiiiiiiii hajibu Tena na ubunge ndo kwa heri
Unajidanganya, vuta subira uone moto wake. Karushiwa chambo huyo, kanasa vizuri kama kambaleHapo Gwajima ndoo Baaaasiiiiiiiiiiiiiiiii hajibu Tena na ubunge ndo kwa heri
Hakina warThe real war has started
Ubunge Kwa tz Hauna hadhiHapo Gwajima ndoo Baaaasiiiiiiiiiiiiiiiii hajibu Tena na ubunge ndo kwa heri
I knew it .. HE wont let it passby without hitting backWakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendeke haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "