PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized

"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendeke haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"

"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "


Hii kauli ya mtu wa standard 7 akafail. Siyo ya Rais. Mpaka sasa Gwajima 3 Chama Cha Mauaji 0
 
Gwajima hajakurupuka, alishajua Nini kita tokea baada ya kuongea ukweli.
Ukweli hauna Chama, Kama Gwajima ata utaka Ubunge kwa dhati, ata upata ata asipo gombea kwa tiketi ya CCM ata upata.
Mafuriko atakayo sababisha Gwajima akiwa mpinzani wa CCM yataleta hasara kubwa kwa CCM.
Ni Bora wangebaki nae uku wakitafakari namna ya ku compromise naye, athali zake zisingekua kubwa.
 
Back
Top Bottom