Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Kwani Rais ni Mungu?Kwa akili yako Gwajima atasema tena?
Yaan unataka amjibu Rais?
Kwani Rais ni Mungu?Kwa akili yako Gwajima atasema tena?
Yaan unataka amjibu Rais?
kwa akili yako ulitetemeka Mh. Rais aongea kwa namna hiyo ?Kwa akili yako Gwajima atasema tena?
Yaan unataka amjibu Rais?
Kwani gwajima kazungumza kuhusu kitu gani kibaya ? Mpaka awakere watu wa kawe? Jibu kwa hoja za kisomigwajima kacheza ngoma isiyo ya Kawe, wanakawe wamestukia ana tapa tapa tu 🐒
Kakojoe ulaleKaka sio kuogopa tu, mtu akiwa raisi au mfalme hana budi kuheshimiwa kama anafuata katiba na miongozo tuliyo wekeana kama viumbe tunaojinadi tuna akili 🤔
Kawe wanasubiri awapeleke Birmingham hadi leo Hajawapeleka atawadanganya nini wamkubali?Gwajima hajakurupuka, alishajua Nini kita tokea baada ya kuongea ukweli.
Ukweli hauna Chama, Kama Gwajima ata utaka Ubunge kwa dhati, ata upata ata asipo gombea kwa tiketi ya CCM ata upata.
Mafuriko atakayo sababisha Gwajima akiwa mpinzani wa CCM yataleta hasara kubwa kwa CCM.
Ni Bora wangebaki nae uku wakitafakari namna ya ku compromise naye, athali zake zisingekua kubwa.
Mmmh!! Mama kajiandaa kwa majibu atakayojibiwa na gwajima??Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendeke haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
Braza haujajibu hoja na uzuri mmoja leo umekuta nakunywa wine tu🤣🤣🤣Kakojoe ulale
Nyota zinamelalia kubaya kwa Gwaj..awapotezee watampoteza bureNa Gwajima ninayemfahamu, labda!
Ngoja tuone kama hii vita mama ataishinda
In a socialist state , the president has the power to kill or to save.Kwani Rais ni Mungu?
Yule jamaa hawezi kukaa kimya 😁Mmmh!! Mama kajiandaa kwa majibu atakayojibiwa na gwajima??
ndo maana learned brother hatak uchaguz bila reform maana haya mapimbi hayashindagiHakina war
Gwajima never won kawe primaries
mimi nimeelewa hapo "Magwajima tuyawache huko nje" nimetafsiri kama maelekezo kwa kamati za uteuzi chamani kwamba wagombea kariba ya gwajima au mpina yaani wale wenye kamdomo na wanaopenda kuhoji mambo magumu na kufichua uovu wasipitishwe..kwahiyo tujiandae kwa bunge lililojaa vilaza, uchawa na mapambio zaidi ya hili la sasa.!
Siasa hubadilika
Nileteeni Gwajima(JPM)
Magwajima tuyaache nje(Samia)
Tunasiburi majibu yakeI knew it .. HE wont let it passby without hitting back