Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
I knew it .. HE wont let it passby without hitting back
100%
I knew it .. HE wont let it passby without hitting back
Kwani gwajima mwenyewe anasemajendo maana learned brother hatak uchaguz bila reform maana haya mapimbi hayashindagi
😂😂😂😁 Wewe unaamini mimi kusema Samia hafai namkosea heshima sawa bhana, kama ndivyo unavyofikir.Braza haujajibu hoja na uzuri mmoja leo umekuta nakunywa wine tu🤣🤣🤣
Hahhaaa ukisikia msumari wa mwisho ndo huo, gwajiboy akapate jimbo alipopeleka maneno.Hapo Gwajima ndoo Baaaasiiiiiiiiiiiiiiiii hajibu Tena na ubunge ndo kwa heri
aliahidi mambo muhimu sana kama vile kupeleka wananchi wa kawe china na marekani, akaahidi kujenga treni ya kisasa kawe, akaahidi kununua boti za uvuvi za kisasa kwaajili ya wavuvi wa kawe n.kKwani gwajima kazungumza kuhusu kitu gani kibaya ? Mpaka awakere watu wa kawe? Jibu kwa hoja za kisomi
Save the date/ comment, Kuna mtu hatofika "OCTOBER" GWAJIMA ni machine ya kusaga UNAINGIZA MAHINDI UNAPATA UNGA.Na Gwajima ninayemfahamu, labda!
Ngoja tuone kama hii vita mama ataishinda
Vibaya sana. Yaani facts kama zile za Gwajima tena zinazohusu haki ya kuishi zinajibiwa hivi? Tena na mkuu wa nchi?Tuna bahati mbaya sana aisee..God have mercy ..
Gwajiminize
Mbona mama hajibu hoja za Gwajima? Yaani humo CCM hakuna awezaye kujibu hoja za Gwajima zaidi ya kumbagaza?Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendeke haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
Ngoja awasilkie mwamba Hana dogoHapo Gwajima ndoo Baaaasiiiiiiiiiiiiiiiii hajibu Tena na ubunge ndo kwa heri
Hapana haumkosei raisi kwa sababu cheo cha raisi kina heshima zake ikiwa ni pamoja na kukusolewa tofauti na ufalme ila iwe tu kwa staha,ila hawa machawa kina Tlaatlaah nikuwapiga spana😂😂😂😁 Wewe unaamini mimi kusema Samia hafai namkosea heshima sawa bhana, kama ndivyo unavyofikir.
Ngoja niagize Serengeti lager hapa, nikisubiri Press ya Gwajima au Makamba ✌🏾 😁
Na CCM imeahidi Katiba Mpya kwenye Uchaguzi ujao.Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized
"Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendeke haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili tatu. Tukipitisha wale ambao wanataka na mie niwemo ndo tunapata wale wanaokwenda huko, chama kinakuwa Gwajiminized"
"Tusi Gwajiminize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje "
Bila shaka aliusoma uzi huu akaona hana pa kutokea. Hivyo bora aharibu tu moja kwa moja.Hili hata yeye analifahamu 100%
Anajua hana cha kupoteza